Hizi ndio nyimbo mbovu ila zinabebwa na media

Hizi ndio nyimbo mbovu ila zinabebwa na media

Kwa me kupenda nyimbo mpk niisikilizee zaid ya mara 3 ndo nailewa na kwenye hiyoo list ya nyimbo zako mbaya hakuna nyimbo mbaya nyimbo mbay ni kina
Best naso
Chief maker na
Wengnee ambao ad beat tu ni demoo yaan mbaya nao ni kwa sababu hawana usimamizi mzurii
 
Ushazoea singeli marry me wap na wap
Yaani siku ile ulivyo nikuta na cheza na mama yako ukajua ndo nyimbo za ngu mkuu .Hapana mimi sipendi singeli ila mama yako ndo aliniomba nimpe campny
 
Kwa upande wangu nyimbo current nazozikubali:-
Kudu
Vuma
Little Town bagamoyo
Moyo sukuma damu
 
nyimbo mpya ya madee sijaielewa kabisa nahisi ndo nyimbo mbovu kwangu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wakati Fid Q mwenyewe hajui Muziki[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we msanii gani unachokiimba hata wewe mwenyewe haukielewi? kaah!!![emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
kama Hakuna Marry u ya Dimond basi hiyo list ni batili
 
Habari wakuu,sio jambo jema kusema msanii fulani anabebwa,kwa kuwa msanii hawezi kutoa nyimbo zote mbovu bali kuna baadhi tu ya nyimbo mbovu atatoa.hizi ndio nyimbo mbovu za bongofleva ila zinabebwa na media(radio na tv).

1. Kijuso ya Rayvan na queen dalin
2. Waya ya Joh makini
3. Yono ya Dully sykes
4. Hela ya Madee
5. AY yupo a dada mmoja jina la wimbo silijui ila ni mpya
6. CHEGE yupo na dada mmoja jina la wimbo silijui ila ni mpya

Hizo ndio zangu mbaya ila redioni zinapigwa sana ,ongezea na wewe za kwako

NB:kuupenda wimbo tumetofautiana,mimi mala ya kwanza nikisikia wimbo,basi hapohapo jibu linakuja,nisipoupenda hapo basi sitaupenda tena,ilas wengie jinsi wimbo unavopigwapigwa redioni anajikuta anaupenda(unakaririshwa hadi unakariri),
1)mwana mkiwa -k sal ft ferooz

2)jambo squad ,mbulula

3)kinyuli nyuli -samir

4)snura- majanga

5)Y Tony-Masebene

6)mirror-one and only

7)Tanzanite -uchawi na wanga

8)watanashati- watasubiri
 
Back
Top Bottom