Umemsikia kwenye interview kakudanganya hivo,kwa uzwazwa wako unaaminiNyimbo ya kuparty hyo babu
Upi huo mkuu? Typia linkWimbo wa wiz aliiba
Yaani siku ile ulivyo nikuta na cheza na mama yako ukajua ndo nyimbo za ngu mkuu .Hapana mimi sipendi singeli ila mama yako ndo aliniomba nimpe campnyUshazoea singeli marry me wap na wap
Mkuu sio lazima wote tuwe wasanii,ni sawa na ukisema kicha fulani anaharibu team harafu useme basi uwe kocha wewUngetunga zako badala ya kudis wenzio!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna wasanii wanatoa nyimbo lakini hata wao wenyewe wanashindwa kusikiliza halafu wanataka sisi ndo tuzipende. Kama hiyo Yono sijui kama Dully anaweza kukaa geto akaisikiliza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wakati Fid Q mwenyewe hajui Muziki[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we msanii gani unachokiimba hata wewe mwenyewe haukielewi? kaah!!![emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huuu ugonjwa sasaKama za dai kabla sijausikiliza nikisikia ametoa wimbo tuu naanza kuupenda
Ameusifia Basi Tu Ila Moyoni Anajua Akisikiliza Roho Au Sumu Na Hiyo Waya Wala Haiingii Akilini.kama hujaielewa hata waya ambayo legendary wa hiphop (fid q) ameusifia basi endelea kusikiliza singel
weew jamaa unajua vyombo......sio watu wanaimba utajua wanaongeaWimbo mzuri baada ya ule wa Darasa ni PHONE wa Ben Paul
1)mwana mkiwa -k sal ft feroozHabari wakuu,sio jambo jema kusema msanii fulani anabebwa,kwa kuwa msanii hawezi kutoa nyimbo zote mbovu bali kuna baadhi tu ya nyimbo mbovu atatoa.hizi ndio nyimbo mbovu za bongofleva ila zinabebwa na media(radio na tv).
1. Kijuso ya Rayvan na queen dalin
2. Waya ya Joh makini
3. Yono ya Dully sykes
4. Hela ya Madee
5. AY yupo a dada mmoja jina la wimbo silijui ila ni mpya
6. CHEGE yupo na dada mmoja jina la wimbo silijui ila ni mpya
Hizo ndio zangu mbaya ila redioni zinapigwa sana ,ongezea na wewe za kwako
NB:kuupenda wimbo tumetofautiana,mimi mala ya kwanza nikisikia wimbo,basi hapohapo jibu linakuja,nisipoupenda hapo basi sitaupenda tena,ilas wengie jinsi wimbo unavopigwapigwa redioni anajikuta anaupenda(unakaririshwa hadi unakariri),
Haaha nimecheka tu huyo Tanzanite sijui kafia wapi1)mwana mkiwa -k sal ft ferooz
2)jambo squad ,mbulula
3)kinyuli nyuli -samir
4)snura- majanga
5)Y Tony-Masebene
6)mirror-one and only
7)Tanzanite -uchawi na wanga
8)watanashati- watasubiri