Hizi ndio nyimbo mbovu ila zinabebwa na media

mtoa mada uko sahihi sana. zooote ulizotaja hakuna nyimbo hapo. ukijumlisha na za dully sykes za hapa karibuni. jumlisha marry you ya dimondi. hovyo kabisaaaa
 
Huo WA chege kwel ni mbovu na umefel pamoja na kupigwa Sana clouds,Kwa Mara ya kwanza naona wimbo mbovu toka Kwa chege
 
Mimi nyimbo zangu mbovu ni Yono wa Dully,Marry u-Diamond x Neyo,Weka Muziki-Darasa,Moyo sukuma damu-Dito
 
Salome _ Diamond

Hamna hata cha maana kilichoimbwa humo ndani, ila kwa kuwa jamaa wana jina basi wamebeba nyimbo.
 
Kajiandae ndo wimbo mbaya sijawai ona kwa Mara ya kwanza ommy naona anatoa wimbo mbaya
 
Kuna wasanii wanatoa nyimbo lakini hata wao wenyewe wanashindwa kusikiliza halafu wanataka sisi ndo tuzipende. Kama hiyo Yono sijui kama Dully anaweza kukaa geto akaisikiliza
Duh!umenichekesha sana mzee baba,habari za Munich lakini!
 
Uwezi amini WAYA ndo ngoma yangu bora kwa sasa,ikifuatiwa na OLLAH ya bella.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…