Hizi ndio sababu za kutofunga mipaka na kuweka movement restrictions

Hizi ndio sababu za kutofunga mipaka na kuweka movement restrictions

Hao Marekani na Kenya na wengine waliojifungia ndani mbona rate ya maambukizi ndio inazidi kuongezeka?? US walivyoanza kujifungia zilikuwa cases chache sana, sasa hivi wako half a million na bado wameongeza mwezi zaidi
Sisi rate ni kubwa sema hatujapimaana
Ndio maana tunaambiwa hao saba wa Jana plus marehemu wawili hawajulikani ugonjwa wameuchotea wapi je ni kariakoo au ubungo au mbagala au chanika
 
Tuacheni utani na lock down.
huko itali watu wanalia njaa.
Serikali yao imewaambia itawalipa mishahara wale wafanyakazi kazi lakini bado hawajalipwa..
hivi kuna watanzania wangapi ambao wanaweza kukaa ndani na kuwa na akiba ya chakula cha wiki moja tu?..
hivi mnadhani magufuli akitangaza kuwe na lock down.
ATAKULETEA CHAKULA NDANI KWAKO?..
acheni utani

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
Sisi rate ni kubwa sema hatujapimaana
Ndio maana tunaambiwa hao saba wa Jana plus marehemu wawili hawajulikani ugonjwa wameuchotea wapi je ni kariakoo au ubungo au mbagala au chanika
Mbona hatuoni damage yeyote sasa..??? Watu humu walisema ikifika March mwishoni mpaka April mwanzoni hali utakuwa tete na tutateketea kama kuku wa kideri
 
Tuacheni utani na lock down.
huko itali watu wanalia njaa.
Serikali yao imewaambia itawalipa mishahara wale wafanyakazi kazi lakini bado hawajalipwa..
hivi kuna watanzania wangapi ambao wanaweza kukaa ndani na kuwa na akiba ya chakula cha wiki moja tu?..
hivi mnadhani magufuli akitangaza kuwe na lock down.
ATAKULETEA CHAKULA NDANI KWAKO?..
acheni utani

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
Mkuu achana nao hao.
 
Mimi napendekeza Daswama iwekwe kizuizini yani asiruhusiwe yeyote aliyepo Daswama kwenda mkoani wala wa mkoani asiruhusiwe kwenda Daswama.

Daswama ndio ndio nini ww dogo? Acha kuleta lugha zako za kitoto humu ndani.
 
Kwa mazingira yetu sioni kama ni sahihi kuwa na lockdown maana itakuwa balaa. Kwa hili niko upande wa maamuzi ya serikali. Maamuzi haya ni baadhi ya maamuzi machache ninayomuunga mkono Magufuli.
 
Mbona hatuoni damage yeyote sasa..??? Watu humu walisema ikifika March mwishoni mpaka April mwanzoni hali utakuwa tete na tutateketea kama kuku wa kideri
'Wataalam' wameongeza wanasema wiki mbili zijazo tutaanza kufa kama kuku.
 
Mipumbavu isiyo na ishu za kufanya wanaitamani sana hiyo lockdown..

Hakuna mwenye shughuli muhimu ya kumuingizia pesa akataka huo ujinga, Rais ana real informations kutoka kwenye mamlaka zake mbali mbali so mpaka anasema hayo atakuwa anaujua ukweli halisi..
Absolutely!

Sent using Soviet T-72 Main Battle Tank
 
muda ndio msema kweli,hali ikiwa mbaya lockdown haikwepeki. Tuendelee kuomba Mungu kwa wale wenye imani hizo na vile ile tuchukue tahadhari.
 
Mipumbavu isiyo na ishu za kufanya wanaitamani sana hiyo lockdown..

Hakuna mwenye shughuli muhimu ya kumuingizia pesa akataka huo ujinga, Rais ana real informations kutoka kwenye mamlaka zake mbali mbali so mpaka anasema hayo atakuwa anaujua ukweli halisi..
Hizi mamlaka mbona hatuzisikii kuhusu wasiojulikana?
 
Mmmmh,mbona yeye kajificha chato na kuikacha ikulu?

Afadhali ya yeye kaenda kula Pasaka kwao kuliko yule mtalii aliyeisusa nchi yake. Jamaa kila kukicha alikuwa anacheza bao angani tu huku nchi ikiendeshwa na wapuuzi yeye hana hili wala lile.
 
Mbona majirani wao wamefunga mipaka hivyo inamaanisha hata ss tumefunga , kwakua hawatak ss twende kwao hata wao kwetu hawaj
 
Nchi zinazojali raia wake zimetoa kipaumbele kwa uhai wa raia kuliko mapato ya nchi. Raia ndiyo uchumi wenyewe. Ukipoteza raia STandard gauge unamjengea nani?
Watazaliwa wengine,huwa awafi wote.
 
Back
Top Bottom