mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Sisi rate ni kubwa sema hatujapimaanaHao Marekani na Kenya na wengine waliojifungia ndani mbona rate ya maambukizi ndio inazidi kuongezeka?? US walivyoanza kujifungia zilikuwa cases chache sana, sasa hivi wako half a million na bado wameongeza mwezi zaidi
Corona haichagui hata Chato itafika tu.
Hata wewe itakifikia.Corona haichagui hata Chato itafika tu.
Mbona hatuoni damage yeyote sasa..??? Watu humu walisema ikifika March mwishoni mpaka April mwanzoni hali utakuwa tete na tutateketea kama kuku wa kideriSisi rate ni kubwa sema hatujapimaana
Ndio maana tunaambiwa hao saba wa Jana plus marehemu wawili hawajulikani ugonjwa wameuchotea wapi je ni kariakoo au ubungo au mbagala au chanika
Mkuu achana nao hao.Tuacheni utani na lock down.
huko itali watu wanalia njaa.
Serikali yao imewaambia itawalipa mishahara wale wafanyakazi kazi lakini bado hawajalipwa..
hivi kuna watanzania wangapi ambao wanaweza kukaa ndani na kuwa na akiba ya chakula cha wiki moja tu?..
hivi mnadhani magufuli akitangaza kuwe na lock down.
ATAKULETEA CHAKULA NDANI KWAKO?..
acheni utani
"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
Ndugu tuache unafiki, kila wakati wa Pasaka na inapokaribia, Raisi huwa anakwenda nyumbani kwao, ni kawaida yake.Mmmmh,mbona yeye kajificha chato na kuikacha ikulu?
Uliza pale ukweli na uhakikaMbona hatuoni damage yeyote sasa..??? Watu humu walisema ikifika March mwishoni mpaka April mwanzoni hali utakuwa tete na tutateketea kama kuku wa kideri
Mimi napendekeza Daswama iwekwe kizuizini yani asiruhusiwe yeyote aliyepo Daswama kwenda mkoani wala wa mkoani asiruhusiwe kwenda Daswama.
Fatalities ni 3 mpaka sasa.. Labda tuseme ni wanne na yule Marin HassaniUliza pale ukweli na uhakika
Sawa mvulana wa Daswama. Ila ukiona comment za kitoto kama hizi nakushauri uachane nazo fuata zile za kiutu uzima.Daswama ndio ndio nini ww dogo? Acha kuleta lugha zako za kitoto humu ndani.
'Wataalam' wameongeza wanasema wiki mbili zijazo tutaanza kufa kama kuku.Mbona hatuoni damage yeyote sasa..??? Watu humu walisema ikifika March mwishoni mpaka April mwanzoni hali utakuwa tete na tutateketea kama kuku wa kideri
Data unazoziona zimeahaungwa mchuziMbona hatuoni damage yeyote sasa..??? Watu humu walisema ikifika March mwishoni mpaka April mwanzoni hali utakuwa tete na tutateketea kama kuku wa kideri
Absolutely!Mipumbavu isiyo na ishu za kufanya wanaitamani sana hiyo lockdown..
Hakuna mwenye shughuli muhimu ya kumuingizia pesa akataka huo ujinga, Rais ana real informations kutoka kwenye mamlaka zake mbali mbali so mpaka anasema hayo atakuwa anaujua ukweli halisi..
Hizi mamlaka mbona hatuzisikii kuhusu wasiojulikana?Mipumbavu isiyo na ishu za kufanya wanaitamani sana hiyo lockdown..
Hakuna mwenye shughuli muhimu ya kumuingizia pesa akataka huo ujinga, Rais ana real informations kutoka kwenye mamlaka zake mbali mbali so mpaka anasema hayo atakuwa anaujua ukweli halisi..
Mmmmh,mbona yeye kajificha chato na kuikacha ikulu?
Watazaliwa wengine,huwa awafi wote.Nchi zinazojali raia wake zimetoa kipaumbele kwa uhai wa raia kuliko mapato ya nchi. Raia ndiyo uchumi wenyewe. Ukipoteza raia STandard gauge unamjengea nani?