TEMLO DA VINCA
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 3,079
- 3,367
So tufunge kila kitu kisa mafuaa??? HahahahNchi zinazojali raia wake zimetoa kipaumbele kwa uhai wa raia kuliko mapato ya nchi. Raia ndiyo uchumi wenyewe. Ukipoteza raia STandard gauge unamjengea nani?
hujazuiwa,unaweza kujipa lock down yako mwenyewe, sio mpaka usubiri serikali.Uhai wa watu ni bora kuliko hivyo alivyo vitaja
Kweli na ndio maana ata shule zinafika kuanzaMipumbavu isiyo na ishu za kufanya wanaitamani sana hiyo lockdown..
Hakuna mwenye shughuli muhimu ya kumuingizia pesa akataka huo ujinga, Rais ana real informations kutoka kwenye mamlaka zake mbali mbali so mpaka anasema hayo atakuwa anaujua ukweli halisi..
Ndani ya siku 2 hizi wamekufa wangapi na Corona?Mbona hatuoni damage yeyote sasa..??? Watu humu walisema ikifika March mwishoni mpaka April mwanzoni hali utakuwa tete na tutateketea kama kuku wa kideri
Usimfananishe JK na watu wengine weweAfadhali ya yeye kaenda kula Pasaka kwao kuliko yule mtalii aliyeisusa nchi yake. Jamaa kila kukicha alikuwa anacheza bao angani tu huku nchi ikiendeshwa na wapuuzi yeye hana hili wala lile.
Ukifunga mipaka bado kuna movements unazoweza kuruhusu ziendelee. Vitu kama mizigo na shughuli muhimu zinaweza kuendelea kuwepo ila zile movements zisizo na ulazima zikafungiwa.Nchi zinazojali raia wake zimetoa kipaumbele kwa uhai wa raia kuliko mapato ya nchi. Raia ndiyo uchumi wenyewe. Ukipoteza raia STandard gauge unamjengea nani?
Hapa anacheza na survival for the fittest,the law of the jungle.Nchi zinazojali raia wake zimetoa kipaumbele kwa uhai wa raia kuliko mapato ya nchi. Raia ndiyo uchumi wenyewe. Ukipoteza raia STandard gauge unamjengea nani?
Bila shaka wewe utakuwa beberuNchi zinazojali raia wake zimetoa kipaumbele kwa uhai wa raia kuliko mapato ya nchi. Raia ndiyo uchumi wenyewe. Ukipoteza raia STandard gauge unamjengea nani?
Wanasogeza tu magoli.. Walituambia hii April mwanzoni tutaanza kuteketea, sasa hivi wanasema data zinafichwa, ukiwauliza kama kwao Au hata kwa jirani kuna mgonjwa hawana majibu..'Wataalam' wameongeza wanasema wiki mbili zijazo tutaanza kufa kama kuku.
Hata mimi nashangaa, watu wanapiga kelele wakati unaweza kujipa lockdown mwenyewe. Mbona kuna kampuni nyingi zimepumzisha watu wao?hujazuiwa,unaweza kujipa lock down yako mwenyewe, sio mpaka usubiri serikali.
Una ndugu au marafiki wangapi wako Mloganzila??Data unazoziona zimeahaungwa mchuzi
Imagine alivyokufa mgonjwa wa kwanza kila mtu alijua, hao wengine data zao zinazofichwa hawana ndugu,jamaa,marafiki au hata majirani?Wanasogeza tu magoli.. Walituambia hii April mwanzoni tutaanza kuteketea, sasa hivi wanasema data zinafichwa, ukiwauliza kama kwao Au hata kwa jirani kuna mgonjwa hawana majibu..
Nchi zinazojali raia wake zimetoa kipaumbele kwa uhai wa raia kuliko mapato ya nchi. Raia ndiyo uchumi wenyewe. Ukipoteza raia STandard gauge unamjengea nani?
Watanzania wanavyopenda udaku na umbeya tungejua tu.. Ila naona watu kimyaaImagine alivyokufa mgonjwa wa kwanza kila mtu alijua, hao wengine data zao zinazofichwa hawana ndugu,jamaa,marafiki au hata majirani?
Hii huna haja ya kutangaziwa. Mimi binafsi naenda gengeni kwangu mara tatu tu kwa wiki. Hapa nilipo tangu nimeingia ndani alhamisi sijatoka nategemea kutoka jumanne nikaangalie usalama gengeni kwangu then narudi kujificha. Haihitaji serikali kukwambia kaa ndani, mabadiliko yanaanza na wewe.Serikali itangaze lockdown ya hiyari. Anayeweza kujiweka lockdown na familia yake afanye hivyo. Hata Rais ninaamini kajiweka lockdown huko kijijini Chato. Kaona mziki wa Dar hatauweza kakimbilia Chato yeye na ofisi yake yote.
Hongera sana. Binafsi nimewashauri ndugu zangu wote waliopo mikoani wasiende mijini na walioko mijini wasiende mikoani. Kama ni maambukizi yabakie kwenye eneo moja yasisambazwe na familia au ndugu.Hii huna haja ya kutangaziwa. Mimi binafsi naenda gengeni kwangu mara tatu tu kwa wiki. Hapa nilipo tangu nimeingia ndani alhamisi sijatoka nategemea kutoka jumanne nikaangalie usalama gengeni kwangu then narudi kujificha. Haihitaji serikali kukwambia kaa ndani, mabadiliko yanaanza na wewe.