Hizi ndio sababu za kutofunga mipaka na kuweka movement restrictions

Nchi zinazojali raia wake zimetoa kipaumbele kwa uhai wa raia kuliko mapato ya nchi. Raia ndiyo uchumi wenyewe. Ukipoteza raia STandard gauge unamjengea nani?
Wahutu aka wanyarwanda. Ndio maana jamaa yake ka lockdown nchi yake ili baada ya janga hili waingie nchi ya ahadi baada ya wayebusi(wadanganyika) wote kuteketea na corona. Uoni jamaa kaenda kujificha karibu na kitovu cha nchi ya wahutu aka wanyarwanda?.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Just wash your dirty mouth?Au unafikir huu ugonjwa upo tz tu ambao wao ni wachapa kazi kuliko wanaotusaidia huko ughaibuni.Utumboutumbo huu ukipewa posho nawe unajiona mchapakazi?Anyway kumbe ni Bashite ambaye hujui hata unavyoenezwa.Alafu Bashite sijui umempa nn jiwe,yaan umemshika kwelikweli kwa ufupi wew unamcontrol huwez amin maneno uliyoongea kuhusu kagonjwa naye kasema hvyhvy kanisani.Huyo witch dk sijui ulimtoa wapi
 
Afadhali ya yeye kaenda kula Pasaka kwao kuliko yule mtalii aliyeisusa nchi yake. Jamaa kila kukicha alikuwa anacheza bao angani tu huku nchi ikiendeshwa na wapuuzi yeye hana hili wala lile.
Mi sijui cha afadhali kuliko yule,hayo ya kwako!Ninachosema yeye anatwambia tupige kazi wakati yeye kaenda vacation tena wakati huu wa Corona,shame!
 
Kwa hivo sisi tufe ili majirani waishi...

Makosa kama ya Nyerere, kahangaika kuwasaidia akina Mandela na akina Mugabe Miaka yote ya Uhai na Urais wake halaf katika nchi hizo hakuna hata kumbukumbu ya Barabara iliyopewa jina lake
 
Nikiangalia kwenye tv jinsi mataifa mengine wanavyokukufa,inasikitisha sana tuchukue kila aina ya tahadhari
 
Hao Marekani na Kenya na wengine waliojifungia ndani mbona rate ya maambukizi ndio inazidi kuongezeka?? US walivyoanza kujifungia zilikuwa cases chache sana, sasa hivi wako half a million na bado wameongeza mwezi zaidi

Haujui unachokiongea..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…