Hizi ndio sababu za msingi kwanini ni sahihi JWTZ kuendesha nchi kwa sasa

Shida ya CCM ni kukosa akili.

Wao mtu akiwa kiongozi hapaswi kusemwa vibaya. Wanaona kiongozi ni kama Mungu.

Kwenye jamii zilizostaarabika zenye maendeleo ya kweli na haki kwa wananchi Viongozi ni Watumishi. Wanasemwa, wanakosolewa na wao wanawajibika kama Viongozi kwa Wananchi.

Kwa hali hii ndo mana kila siku tutazidi tu kuota kuhusu maendeleo ya kweli.
 
Swali: hivi CDF salama kweli??
 
Swali: hivi CDF salama kweli??
Hata wakimuua CDF wajue tu hawatakuwa salama.

Sisi Wananchi tunalilazimisha na kulihamasisha Jeshi kuchukua hatma ya hii nchi maana wao ndo Taasisi pekee tunayoiamini kwa sasa.

CDF sio Jeshi.
 
Mihemko imekujaa, rudia kusoma ujielewe
 
Reactions: Tui
Jeshi safari hii lishindwe lenyewe tu

Na likishindwa safari hii wanasiasa ndo watawapanda kichwani hadi wataeleza.

Ili kuleta heshima na kuinyosha nchi hakuna budi Jeshi kuchukua hatua ya kuchukua nchi sasa
 
Mwezi huu utajifungua na ndoto yako ya kiuendawazimu.If wishes were horses beggars would ride.
Wisdom is chasing you but you are always faster.
You are mentally unsound moron.
 
Mwezi huu utajifungua na ndoto yako ya kiuendawazimu.If wishes were horses beggars would ride.
Wisdom is chasing you but you are always faster.
You are mentally unsound moron.
Polee sana. Maneno yako mwisho wako tarehe 29 Oktoba 2025
 
WaTanzania hawajashindwa kuichukua n a kuiendesha nchi. Jeshi liwahakikishie tu hawa waovu chini ya Samia Suluhu Hassan hawaondoki na damu nyingi ya waTanzania.

Hilo pekee ndilo la muhimu kwa sasa, jeshi lilisimamie.
 
Jeshi litusaidie kwa kweli
 
Ingekuwa n kweli ikatokea hvyo bas hatuna budi kuomba na vyama vyote vya siasa kufutwa kabisa na Mali zake kutaifishwa
 
Zimbabwe wanajeshi waliingia kipindi cha Robert Mugabe akaachia ngazi , na sasa hapa jirani Madagcar jana wameingia kwanini Tanzania isiwezekane ?
 
hilo jeshi unalilihashukia ni jumuiya ya CCM kama ilivyo UVCCM
 
Zimbabwe wanajeshi waliingia kipindi cha Robert Mugabe akaachia ngazi , na sasa hapa jirani Madagcar jana wameingia kwanini Tanzania isiwezekane ?
Kwwli kabisa. Zimbabwe Jeshi lilimnyoosha kweli Mugabe.
 
JWTZ msichelewe. Taifa lote linawatizama nyie. Tusaidieni
 
Ingekuwa n kweli ikatokea hvyo bas hatuna budi kuomba na vyama vyote vya siasa kufutwa kabisa na Mali zake kutaifishwa
Hili halina budi kutokea ili turudishe utimamu kwenye siasa zetu.

Puppets wote wanaotumika kuwarubuni wananchi lazima wafurushwe kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…