Hizi ndio sababu za msingi kwanini ni sahihi JWTZ kuendesha nchi kwa sasa

Wewe ni kila Za. Tokea lini jeshi hili lilnalopiga wananchi wanyonge wakati wa uchaguzi liweze kuongoza nchi kwa haki ?
 
Wewe ni kila Za. Tokea lini jeshi hili lilnalopiga wananchi wanyonge wakati wa uchaguzi liweze kuongoza nchi kwa haki ?
Thailand ilikuwaje?

Bangladesh ilikuwaje?

Nepal juzi ilikuwaje?

Jeshi duniani pote ndo Taasisi ya mwisho kusimama na wananchi. Haijalishi huwa linafanya nini na hivi ndivyo inavyokuwa.
 
Thailand ilikuwaje?

Bangladesh ilikuwaje?

Nepal juzi ilikuwaje?

Jeshi duniani pote ndo Taasisi ya mwisho kusimama na wananchi. Haijalishi huwa linafanya nini na hivi ndivyo inavyokuwa.

Hayo majeshi ya huko hayajatesa mnyonge
 
Captain tesha chukua nchi
Jeshi linapaswa kuwasikiliza Wananchi kwenye hili.

Endapo Jeshi halitawasikiliza Wananchi kwenye hili litakuwa limegeuka kutoka kuwa Jeshi la Wananchi hadi Jeshi la Watawala tena mafisadi wanaonyanyasa Wananchi.
 
Naona unawashwa. Tarehe 29 utakunwa na FFU
Unavyoongea utadhani unakakipande cha kakitu kigumu eneo la kutolea mbolea .

Hao askari unaowazungumzia ni wangati ,kwa vitendea kazi gani mbele ya wanainji waliyoamua liwalo na liwe ? Stay tuned

Fourteen days remaining.
 
Samia ameyapa hela kwa sasa hayana akili ya kuwaza zaidi hatima ya nchi yetu hayo majamaa ya kuitwa JWTZ. Kiufupi hatuna jeshi na tusitegemee msaada wowote kutoka kwa haya majamaa, hamna kitu kabisa.
 
Kumbuka Rafiki mkubwa wa serikali inayoundwa na CCM ni China, Cuba,
 
Unavyoongea utadhani unakakipande cha kakitu kigumu eneo la kutolea mbolea .

Hao askari unaowazungumzia ni wangati ,kwa vitendea kazi gani mbele ya wanainji waliyoamua liwalo na liwe ? Stay tuned

Fourteen days remaining.
Askari gani atashika bunduki ili mafisadi wajineemeshe kwa ufisadi na yeye akistaafu anapewa mil. 45?
 
JWTZ malizeni huu mchezo. Chukueni hii nchi na tuanze kuijenga upya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…