Hizi ndio sababu za Vanessa Mdee kuacha rasmi muziki

Muziki wa Vanessa ni kama wa jamaa anajiita Wakazi, sijawahi kuwaelewa
Anajua, Sema Hao wakina na ndy wanaimba lugha za ajabu ajabu kitu ambch wabongo wanapenda
 
Amekwama wapi? Exposure anayo, watu wa kumsupport anao, familia ya kueleweka anayo, si bure kuna jambo...sema naye mambo mengi! Ajifunze kwa komando jide!
 
Mbona kama anasingizia mziki. Si aseme tu kuachwa na jux ndo kulisababisha yote hayo. Tutamuelewa tu maana yeye sio kwa kwanza kuachwa. Sasa akiachwa na Rotimi si tutamzika mazima. Kama kaweka karata zake zote sehemu moja. Always have an ace above your sleeve vee. Wanaume hawana dhamana
 
Vee kazingua. Baada ya Rotimi kumtambulisha Marekani. Angekaza muziki aingie kwenye afro dance hall atafute colabo na wiz kid, davido, Tiwa etc. Wamarekani weusi wanapenda muziki wa afrika. Sasa yeye anataka kuchezea dushe tu. Zero brain
 
weka link'
nahic unamsemea tu.
by the way'
namtakia kila lakheri ktk maish.
 
Kama Msanii kama Vanessa anasema muziki haumlipi... Vipi kuhusu wasanii wengine ambao tunaona kimafanikio huenda wasimfikie vanessa kwa sasa?
Nadhani muziki haukuweza kusupport maisha au anasa alizokuwa anapendelea kufanya. Kwa hyo kwa mtu mwingine akipata pesa anazopata V anaweza akaziona nyingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…