Hizi ndio sababu za Vanessa Mdee kuacha rasmi muziki

Vee kazingua. Baada ya Rotimi kumtambulisha Marekani. Angekaza muziki aingie kwenye afro dance hall atafute colabo na wiz kid, davido, Tiwa etc. Wamarekani weusi wanapenda muziki wa afrika. Sasa yeye anataka kuchezea dushe tu. Zero brain
Hivi anamuamini huyo mvuta shisha? Vee bana[emoji16]
 
Ikitokea ameachika atarudi tena kwenye muziki

unajua namuelewa Vanessa yaan unaweza ukawa ushapitia mahusianona wanaume kadhaa wa kadhaa. Lakin ukakutana na mmoja yaan ni the best yaan mwanaume anakupa raha utafikiri kazaliwa kwaajili yako yaan unasahau shida ,kero ,stress zinaishaa
Kuna wanaume wanakubadilisha kabisa so namuelewa Vannesa
 
Yupo happy na maisha yake mapya, kwa sasa anasoma biblia kwa wingi yeye na rotimi na kusali sana tu. Kwa maelezo yake amempata mwanamme sahihi kabisa na amembadilisha kwenye njia sahihi
 
Kama Msanii kama Vanessa anasema muziki haumlipi... Vipi kuhusu wasanii wengine ambao tunaona kimafanikio huenda wasimfikie vanessa kwa sasa?
Alifanya tour yeye na jux ya kwao binafsi na sponsor walipata.
Na alilipwa milioni 20 Mombasa..
Na akamshawishi mdogo wake aache kazi aingie kwenye mziki..

Labda matumizi yake ndo yako juu kupita mapato
 
Wewe rotim ni mhun mhuni tuu mtoto wa lagos na los angeles siku akimuacha ndio utaelewa
 
Kama muziki haumulipi atueleze hiyo miaka zaidi ya 7 ambayo alikuwa akionekana kupendeza na kuishi maisha ya gharama + kushoot mavideo ya gharama hiyo pesa alikuwa anaitoa wapi, au ana biashara nyingine ambayo hatuijui?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…