Hizi ndio sababu za Vanessa Mdee kuacha rasmi muziki

Mume au bwana bora ni yule anayekufanya uone unachokifanya ni muhumu. Yani anaongeza kitu kwenye kile unachokifanya. Sasa mume anakufanya unaona hata kaz yako haina maana

sikiliza watu wanaoishi nje huwa wanaamini sana na kukubali mawazo ya mtu hawalazimishi
Wako so positive sana
 

Attachments

  • 992A9AB2-F7DC-4B76-AC4F-8702FD28B0D8.png
    72.3 KB · Views: 2
Darmian kuna wanaume wanatreat vizuri sana wanawake hata kama hawawapendi au wanajua huyu sitamuoa au kuwa nae muda mrefu sasa ni rahisi kuwapenda na kuwaamin
Ni kweli..Mimi nimejaribu tu kumuonea huruma vee pale watakapo achana..Je ataendelea kubaki USA? au atarudi bongo??,,Muziki kaacha ata ile socialite power itakuwa imepungua
 
Aina ya mziki anaoimba watoto wa uswazi wameshindwa kuuelewa

Una hoja ya msingi sanaa mkuu, watoto wa uswazi wamezoea nyegee nyegeziii, mwanaume mashineeeee......
 
Rotim anaonekana katulia mbona na anamtreat vizuri vanessa mpaka kaamua kuweka public si mchezo angeficha ficha akala akasepa
Hiyo kuonesha onesha anataka kumuumiza jux,

Huyo rotimi mbona hata huwa hamkiss asee, hadi aibu!

Dada anajitahidi kutoa ulimi mrefu kama kinyonga ndo kwanza jamaa, kama anasikia kinyaa, we cheki clip zao utamuonea huruma vee...

Huyo mpopo kuna vihela anavila hapo vya bidada vikiisha anasepa kama spicy music wa dada ndi ndi ndi
 
Ni mitano ya wasanii karibu wote
Wasanii karibu wote wa Tz wako ktk kundi lake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…