kwani KWARU ni wimbo wa pwani nduguHahaha zuchu ana kipaji ila ajaribu ku change zaidi asikomalie ya pwani
hata jani la mti kuna muda ukifika linakuwa limekauka....sex lady mpaka liniVanessa yuko vizuri sex leady
Yaan kama mhuni mhuni tu..shisha anayovuta rotim?kwan ina ubaya ausijakuelewa?
Mmmh ile clip wako sijui airport vee katoa ulimi jamaa akamwambia kausha...weee Kuna clip wanakiss kabisa na Rotim ana pesa kumzidi Vanessa hakuna kitu kama hicho nakataa aisee
Mmmh ile clip wako sijui airport vee katoa ulimi jamaa akamwambia kausha...
Mara nyingi tu anaogopa romance labda kiss za shingoni
Yaan kama mhuni mhuni tu..
Hahahahaha Eti Kausha!Mmmh ile clip wako sijui airport vee katoa ulimi jamaa akamwambia kausha...
Mara nyingi tu anaogopa romance labda kiss za shingoni
Kazi ipo mkuuKama Msanii kama Vanessa anasema muziki haumlipi... Vipi kuhusu wasanii wengine ambao tunaona kimafanikio huenda wasimfikie vanessa kwa sasa?
Ni pesa mama inatafutwa hapo, ngoja hicho kidemu kiishiwe uone mpopo atakavyotimua vumbi..sidhan jamani angesafiri nae kila mahala
Kuna ile anaenda kwenye shoo anampaka mafuta kisha wakakiss kabisa mdomoni
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji28]jamen si msanii ulitaka awe kama mchungaji [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo sisi wanawake wengi tulivyo mkuu kwenye mapenzi akili kisoda..Hahahahaha Eti Kausha!
Ila Vannesa Anakosea sana Aisee yaani Anajimaliza kabisa kwa huyu baharia??!!!
Subiri hivyo vihela vyake vya muziki viishe, soon utamuona hapa bongo nyossoasifurahishe..yeye aseme tu kuwa kuishi America pekee ndio ilikuwa ndoto yake, chezea kuwa na uraia wa Mr Trump.
Ni pesa mama inatafutwa hapo, ngoja hicho kidemu kiishiwe uone mpopo atakavyotimua vumbi..
Sijui kwanini the way nikiangalia clip zao naona kama vee anafosi king[emoji848]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji28]
Mwambie Shem rotimi avue ile hereni yake ya msalaba basi, na kitaulo apunguze[emoji16][emoji16]
Mzee baba njoo uedit huu utopoloVanessa yuko vizuri sex leady
NieditieMzee baba njoo uedit huu utopolo