Hizi ndio sababu za Vanessa Mdee kuacha rasmi muziki

Write your reply...Binafsi nilikua namuelewa v money ila video zake ndo sijawahi zipenda
 
unajua mziki ni kama bangi ukisema naacha mazima ipo siku tu utarudia tu
 
kweli wasanii wanapata tabu maana wanalazimika kuishi maisha ya k'star hata kama hana kitu mfukoni.
 
Ni kweli..Mimi nimejaribu tu kumuonea huruma vee pale watakapo achana..Je ataendelea kubaki USA? au atarudi bongo??,,Muziki kaacha ata ile socialite power itakuwa imepungua
Wa naija ni wahuni aangalie asije ishia jela
 
[emoji23][emoji23]
 
Papuchi inalipa sana, awe tu na uhakika wa kudumu alipojiweka.... atuachie sisi kina Wolper hadi usiku utapokwisha.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…