Hizi ndio sababu za Vanessa Mdee kuacha rasmi muziki

Hizi ndio sababu za Vanessa Mdee kuacha rasmi muziki

Hiyo kuonesha onesha anataka kumuumiza jux,

Huyo rotimi mbona hata huwa hamkiss asee, hadi aibu!

Dada anajitahidi kutoa ulimi mrefu kama kinyonga ndo kwanza jamaa, kama anasikia kinyaa, we cheki clip zao utamuonea huruma vee...

Huyo mpopo kuna vihela anavila hapo vya bidada vikiisha anasepa kama spicy music wa dada ndi ndi ndi
Hivi mzee Spicy alikula akasepa?
 
Sina tatizo na yeye kuacha mziki, wasiwasi wangu ni kusema mchizi kamtoa shimoni ambapo alikuwa anahamngamia.

Kwasasa tayari mwamba ameshajua udhaifu wa bibie, kwamba katokea kwenye dhiki, kapitia majaribu na shida nyingi kwenye mziki wake usiompa faida.

Kwa jinsi wanaume wa Kiafrika tulivyo, huwa tunatumia udhaifu kama huo kunyanyasa wanawake.

Sasa Mchizi akimkataa mbeleni bibie atakwenda wapi? Atafanya nini?
 
Sijui atauweka wapi uso wake siku akija kuachwa na huyo jamaa anaemsifia.
 
Kanogewa na Mb0..0 ya Marekani ndo imemuachisha muziki hasilete visingizio vingine
 
Sina tatizo na yeye kuacha mziki, wasiwasi wangu ni kusema mchizi kamtoa shimoni ambapo alikuwa anahamngamia.

Kwasasa tayari mwamba ameshajua udhaifu wa bibie, kwamba katokea kwenye dhiki, kapitia majaribu na shida nyingi kwenye mziki wake usiompa faida.

Kwa jinsi wanaume wa Kiafrika tulivyo, huwa tunatumia udhaifu kama huo kunyanyasa wanawake.

Sasa Mchizi akimkataa mbeleni bibie atakwenda wapi? Atafanya nini?
Lazima abugie chlolokwini za kushiba
 
Baada ya kelele nyingi za mashabiki wa msanii Vanessa Mdee (V Money) kwa nini amekaa kimya kwa muda mrefu hatimaye atangaza kuachana na tasnia ya muziki akitoa sababu zifuatazo.

Akizungumza kwenye podcast yake amesema.

1. Muziki umekuwa haumlipi kwa muda wote ambao ameufanya.

2. Muziki ulimletea msongo wa mawazo yani depression na anxiety mpaka kufikia kunusulika kufa.

3. Muziki ulimuingiza kwenye ulevi uliopitilia wa kulewa kwa masaa 24 kwa mwaka mzima 2019.

4. Hakuwa na maelewano mazuri na mama yake kwa kuwa hakuwa akipenda V afanye muziki.

5. Muziki ulifanya aishi maisha ya kuigiza na kufurahisha mashabiki huku deep down akijua anaishi maisha yaliyo juu ya uwezo wake.

Hizi ndio sababu zilizofanya aache muziki na kuweka maisha yake kwa Rotimi ambaye anasema kamrudisha kwenye maisha na kazaliwa upya baada ya kukutana naye.
KILA MTU AACHE MAMBO YA KIPUUZI KAMA MIZIKI
 
Huyu anawahadaa tyuuh mashabiki ili wawe wapole, yeye aendelee kwan kula pause na Rotimiii, ila hawezi kamwe kuacha mziki.
 
Mbona kama anasingizia mziki. Si aseme tu kuachwa na jux ndo kulisababisha yote hayo. Tutamuelewa tu maana yeye sio kwa kwanza kuachwa. Sasa akiachwa na Rotimi si tutamzika mazima. Kama kaweka karata zake zote sehemu moja. Always have an ace above your sleeve vee. Wanaume hawana dhamana
Sio kwamba Jux aliachwa na Vanesa ?
 
Back
Top Bottom