Hizi ndio SI Units za kujipatia mapenzi motomoto mjini

Duh maskini juice tu[emoji1381]‍♀️
Nadhani kuna aina ya wanawake mnawaongelea msitujumuishe wote[emoji28]
Lazma ataliwa tu huyo aliopewa Juice..Saikolojia ya mwanamke ni nyepesi kama nyoya la kifaranga ukijua kucheza nayo tu.
 
Alafu nlisahau kwa umri na kwa level ya maisha nlofikia wanawake wote ni sawa, hawana levels kivile, kitu unahitaji ni kuwa na mtaji kidogo tu wa kuendesha hiyo relationship....sababu kwenye hela wanawake wote wanapenda pesa
Exactly, that was what i was talking about...Unahitaji mtaji mdogo wa kufanya manipulation to get laid. Either vizawadi na Outing or just creating the romantic love situation then your on-set to spread someones legs! Utachagua to keep her or dump her after the dooms day!πŸ˜…
 
Ila option ya kum keep mtu au kum dump si inakuwa mikononi mwako. After getting laid if your are smart utaona anaefaa na asiefaa.
 
Hahahah ombea awe anakuchukulia kama mtu wa maana kwake maana unaweza kumganda mtu ila tabia zako mbovu zikakusaliti mbele yake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji28][emoji28][emoji28]ananichukulia serious isingekuwa hivyo mbona kitambo angekuwa amesha niwekea tinted
Hapo kwenye tabia nimekua malaika aisee vichekesho ni vingi hapa duniani[emoji23][emoji23]
Wanaume nawaelewa hampendi kubanwa,asingenipa ushirikiano
 
Unajihakikishia booking kwa McGarab au sio?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ajiandae na vituko mkishahamia Goba
 
Unajihakikishia booking kwa McGarab au sio?[emoji23][emoji23][emoji23] Ajiandae na vituko mkishahamia Goba

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ngoja tumalizane na Gara B kwanza
Ila simletei vituko tena nimebadilika kweli [emoji1374]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ngoja tumalizane na Gara B kwanza
Ila simletei vituko tena nimebadilika kweli [emoji1374]
Ubadilike kweli maana wengi mna hibernate kwa muda tu ila baada ya kuwekwa ndani mna resume tabia zenu halisi πŸ˜… hapo ndipo vidume tunafunga ndoa na ulabu
 

Unajua kwenye ukweli tuwe tunasema ukweli na kama kuna tatizo sehemu fixing should start from there, unfortunately dada zetu wengi hawapend kusikia huu ukweli ila ndio ukweli.
 
Kuwa na makali Ni muhimu Sana town. Wenye makali (shekeli ) ndio wanakula mema ya nchi
 
Shida inakujaga pale unapotaka kuwatafuna kisawasawa,linatokea limtu linakuganda hasa,lingine unaliambia tule bata makusudi kale linashika ujauzito
 
K
Shida inakujaga pale unapotaka kuwatafuna kisawasawa,linatokea limtu linakuganda hasa,lingine unaliambia tule bata makusudi kale linashika ujauzito
Kuna raia zinakuvizia ukianza kula mema ya nchi zi TAG Ubavu
 
Kuna kauli yenu ya kishujaa mnaipenda "bora kulia kwenye V8,kuliko kucheka kwenye baiskeli......",ila hongera kama haupo hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…