Hizi ndio SI Units za kujipatia mapenzi motomoto mjini

Hizi ndio SI Units za kujipatia mapenzi motomoto mjini

dada,sisi ndio wanaume tunafahamu,ukiwa na pesa hakuna Mwanamke utakayemtaka akukatae .
Hivi nyie [emoji848][emoji848]

Unachoweza niambia nikaamini ni hivi, mwanaume mwenye pesa ukimkataa huwa anastaajabu, na anaona miujiza[emoji849][emoji849][emoji848]

Hilo ndilo unaloweza niambia nikaelewa
 
bingwa em jaribu kupasua hzo p.u.m.bu unaeza kuta hzo gololi ni almasi af umekaa nazo tu[emoji16][emoji16]
Mmeshaanza kunivunja mbavu sasa[emoji1787][emoji1787][emoji28]

Humo atapasua watoto tu, hakuna cha almasi wala gold[emoji1787][emoji1787][emoji28]
 
Me sikubaliani na wewe. Unaweza ukawa na vyote ivo na usinivutie. Mwanamke anaweza akakupendea kitu kidogo tu harufu yako nzuri, uchangamfu wako, upole, busara yani vitu vya kawaida. Na nikakukataa we mwenye vyote ivo sababu ya kijana mwenye sifa ndogo tu. Ujue mwanaume akishakuwa na pesa, nyumba nzuri au gari anahisi anaweza miliki mwanamke yoyote amtakae kumbe siyo. Wapo kibao tunawapiga chini na hata mwanamke akiwa na wewe anakuwa ayupo serious ndio kila siku anakupiga vibomu, mara pesa ya hiki, mara ges imeisha, mara bby sina hiki. Lakini unakuta kuna mwanaume wake uyo awezi muomba ata elfu50, labda mpaka ampe mwenyewe. Na unakuta jamaa amepanga tu chumba kimoja. So kaka zangu tafuteni pesa fanyeni maendeleo kwa faida yako na familia yako apo baadae. Siyo kwaajili ya wanawake
Case closed [emoji119][emoji119]
 
Hahahaha yan simu ya mwanaume lazima iwe na pesa kidogo za manipulation, kidogo tu..leo nimeenda shop kwa mangi nnapodakaga vitu zangu na kutoa pesa, nimetoa hela ile nahesabu kaja sister mmoja simjui, kamwomba jamaa mmoja amnunulie juice jamaa kaanza stori za abunuasi, me nikajitoa muhanga nikamwambia chukua nitalipa kafurah huyo hajui kama anakuja mdogo mdogo , sijamwomba namba wala sijataka kujua anakaa wapi ? nimebeti ipo siku mkeka utatiki
Hheeeheejee[emoji108]

Ukila vya watu lazima uliwe
 
[emoji23][emoji23][emoji23]show them mapeneeee mkwanjaa


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]you will see them wanavyotetemaaa



Nakuongezea hii...


MADEM WA BONGO WANATUPENDA SANA SISI MADAKTARI

yaan ukishajitambulisha Am Dr G...... naomba tubadilishane namba ..nichapu sana

Alafu baada ya hapo. Unazuga kumpotezea, utaona mwenyewe anavyokusumbua[emoji23][emoji23][emoji23]
We ni Dokta mkuu?[emoji15][emoji15][emoji15]
 
Aaaah uwaseme na wanaume wenzio kibao tu ambao wanaanza na mabinti wa watu from scratch, afu zikianza tu kunukia ndio anatafutwa "dream woman" wa kuzitumia. Wewe mwenzangu na mimi tena siyo type yake; ulikuwa tu available kwa wakati ule ambao hakuweza kuwapata wa ndoto zake; you are not what he wants. Mtu anaona shida ya nini; zitafute kwanza ukishazipata njoo; hata ukininyanyasa sawa tu. Sio mzitafute wote afu muda wa raha unaenda kudangwa khaaaa
Kama mkono wa baunsa na mkewe from scrath, huyu mzee anaaibika na vibinti
 
Baada ya pepo mmbaya kukatiza katika mahusiano mengi mwezi wa 9 na wa 10 hapo natumai wahanga wanaendelea vizuri ila ningependa tukumbushane mambo muhimu kidogo.

Wazee SI Units za mapenzi motomoto hapa mjini ni kama ifuatavyo:
1.Pesa,Penenge, Mpunga,
Ngawira, Mtonyo, Shekeli,
Mshiko.

2.Gari, Chombo, Usafiri, Mjapani, Mwamvuli wenye matairi.

3.Makazi ya kueleweka kuishi binadamu yenye facilities zote muhimu. Iwe Ghetto au Apartment but hakikisha kitu self-contained na hapachoshi kukaa.

Wanangu wote jitahidini tuishi humo. Najua wengi mlifeli katika maeneo hayo hapo juu ila turekebishe makosa. Watoi wa tao wote wanalenga humo na ni rahisi sana kumtia mipango akikuta uko katika mazingira hayo iwe ya muda mfupi au mrefu. Tuishi humo!!!

NB: Sio lazima uwe na vyote ila hakikisha usikose Unit namba 1! Huwa inasawazisha mikingamo yote... i call it filler!
Mapenzi ya hivyo huyafurahii hata kidogo.

Nikuulize swali?

Ulishawahi kuwatoa wanawake out au wakaja kwako unaona kabisa wanafurahi ila moyoni unajiambia ila hawa wanafurahia kwasababu ya ninachowapa.

Mapenzi mazuri hayahitaji msururu wa vitu.... effortless...simple.... na yanakusahaulisha mengi.


Labda kama unataka wa kuchezea tu...utawavuna wengi....hapa sikatai...

Ila mwisho wa siku kuna mapenzi baada ya sex....hii haihitaji mrundikano wa mambo.
 
Nilipokuwa na kazi mkoa fulani kitu cha kwanza nilinunua gari tena sio moja nilikuwa nazo mbili.Ndo nikaanza mipango ya kujenga.
 
Wanaokubali wako sawa na wanaokataa pia wako sawa. Sidhani kama kwa pesa, magari na eneo la kuishi utapata mtu wa kudumu utapata madanga na wale wanaotaka kula raha hapa na pale then mkizinguana unadaka mwingine na sidhani kama mtavuka miezi 6. Wale wanaopenda kwa dhati kuna kitu tofauti na hivyo kimemvuta pengine ni kinachoonekana(umbile, rangi, utanashati etc) au kisichoonekana (upole, akili, mtazamo,care etc) au wanaopenda bila sababu yoyote ile, unconditionally. Haya mambo ni magic hayana formula.
 
Me sikubaliani na wewe. Unaweza ukawa na vyote ivo na usinivutie. Mwanamke anaweza akakupendea kitu kidogo tu harufu yako nzuri, uchangamfu wako, upole, busara yani vitu vya kawaida. Na nikakukataa we mwenye vyote ivo sababu ya kijana mwenye sifa ndogo tu. Ujue mwanaume akishakuwa na pesa, nyumba nzuri au gari anahisi anaweza miliki mwanamke yoyote amtakae kumbe siyo. Wapo kibao tunawapiga chini na hata mwanamke akiwa na wewe anakuwa ayupo serious ndio kila siku anakupiga vibomu, mara pesa ya hiki, mara ges imeisha, mara bby sina hiki. Lakini unakuta kuna mwanaume wake uyo awezi muomba ata elfu50, labda mpaka ampe mwenyewe. Na unakuta jamaa amepanga tu chumba kimoja. So kaka zangu tafuteni pesa fanyeni maendeleo kwa faida yako na familia yako apo baadae. Siyo kwaajili ya wanawake
Fact
 
Back
Top Bottom