Hizi ndio SI Units za kujipatia mapenzi motomoto mjini

Hamna mwanamke mwenye akili atakataa mwanaume mwenye hizo sifa hapo. Wenyewe huwa mnakiri kabisa kuwa je, tutakula mapenzi huko kwenye ndoa? Which means lazma mwanaume wako awe well of na mipesa.

Wenzako wengi wanaliwa kwa lifti ya gari tu. Sasa ukisema wanawake wanaweza kukataa ukiwa na hizo SI Unit nakushangaa.

Mimi ni mwanamke mwenye akili na huwa ninawakataa hao watu wenye hela ambao wanafikiri they can get me kwa sababu tu wana hela. Ni mwanamke asiye na akili tu ndiye ataona tu una vijicent afu akajilengesha fasta bila kuangalia una vitu gani vya ziada unaweza kumu-offer. Pesa ni ya muhimu sana; lakini sio kila kitu kwenye mahusiano. Tabia yako, kujitambua, heshima n.k vinaweza vikakufanya ukakataliwa.

Hivi seriously kabisa na wewe unakuwa na mwanamke eti kisa kaona ana gari so atakuwa anapata lift; yaani lift ikutoe utu.

Btw hongereni; kumbe wakaka wa humu mna mifwedha hivyo. Naona kila mtu leo kapendewa mifwedha na baby ake, hamna pangu pakavu anayependwa, wala wale tunaojitiaga moyo "he has a promising future" hakuna humu leo. Mnitumiepo basi tuvocha jamani

Me sikubaliani na wewe. Unaweza ukawa na vyote ivo na usinivutie. Mwanamke anaweza akakupendea kitu kidogo tu harufu yako nzuri, uchangamfu wako, upole, busara yani vitu vya kawaida. Na nikakukataa we mwenye vyote ivo sababu ya kijana mwenye sifa ndogo tu. Ujue mwanaume akishakuwa na pesa, nyumba nzuri au gari anahisi anaweza miliki mwanamke yoyote amtakae kumbe siyo. Wapo kibao tunawapiga chini na hata mwanamke akiwa na wewe anakuwa ayupo serious ndio kila siku anakupiga vibomu, mara pesa ya hiki, mara ges imeisha, mara bby sina hiki. Lakini unakuta kuna mwanaume wake uyo awezi muomba ata elfu50, labda mpaka ampe mwenyewe. Na unakuta jamaa amepanga tu chumba kimoja. So kaka zangu tafuteni pesa fanyeni maendeleo kwa faida yako na familia yako apo baadae. Siyo kwaajili ya wanawake
Kwa siku hizi wanawake wenye mawazo yako ni mmoja katika wanawake ishirini.
 
Maneno ya nje ya uwanja ila ndani ya uwanja mnakuwa tofauti.

Si unajua wanawake walio wengi akili zao zakushikiwa,mwanzoni anaweza akakukubali na hali yako ya Kitechno,ila tatizo sasa akiwa na marafiki zake ambao hali zao za Kiiphone ,wengi wao wanabadilika na kukuona huna maana na matusi yanapo anza.
 
Mimi ni mwanamke mwenye akili na huwa ninawakataa hao watu wenye hela ambao wanafikiri they can get me kwa sababu tu wana hela. Ni mwanamke asiye na akili tu ndiye ataona tu una vijicent afu akajilengesha fasta bila kuangalia una vitu gani vya ziada unaweza kumu-offer. Pesa ni ya muhimu sana; lakini sio kila kitu kwenye mahusiano. Tabia yako, kujitambua, heshima n.k vinaweza vikakufanya ukakataliwa.

Hivi seriously kabisa na wewe unakuwa na mwanamke eti kisa kaona ana gari so atakuwa anapata lift; yaani lift ikutoe utu.

Btw hongereni; kumbe wakaka wa humu mna mifwedha hivyo. Naona kila mtu leo kapendewa mifwedha na baby ake, hamna pangu pakavu anayependwa, wala wale tunaojitiaga moyo "he has a promising future" hakuna humu leo. Mnitumiepo basi tuvocha jamani

Kwahio we unaweza kuvumilia tutafute fyucha yetu au sio 😂😂😂? Utaweza lala kwenye kipande cha mkeka kweli au ndio unantafutia lawama mzee Gwakisa anitimue na barua ya posa tu!
 
Hivi wote humu mmeanza kuwa na wapenzi baada ya kuzichanga? Hakuna watu mmeanzia juani sasa hivi mnakula kivulini (not necessarily kulala njaa lakini ile tu mnaona kabisa hapa ndiyo tunaanza maisha)? Mungu anawaona

Mzee Gwakisa hakuwa na noma kabisa; alitubariki tu tukaenda kupambana na hali zetu
Kwahio we unaweza kuvumilia tutafute fyucha yetu au sio [emoji23][emoji23][emoji23]? Utaweza lala kwenye kipande cha mkeka kweli au ndio unantafutia lawama mzee Gwakisa anitimue na barua ya posa tu!
 
Hivi wote humu mmeanza kuwa na wapenzi baada ya kuzichanga? Hakuna watu mmeanzia juani sasa hivi mnakula kivulini (not necessarily kulala njaa lakini ile tu mnaona kabisa hapa ndiyo tunaanza maisha)? Mungu anawaona

Mzee Gwakisa hakuwa na noma kabisa; alitubariki tu tukaenda kupambana na hali zetu
Ni kweli tunapenda sana maisha ya kuanza from scratch na kuona progress yetu ilivyo. We love dat for sure ila wanawake wasio financial independent ndio wametengeneza ufalme wa wanaoita kudanga.

Wana opt wanaume wanaochanua kiuchumi tu...ukiwa kapuku unatoswa mapema tu kumbe nia yetu ni nzuri.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]show them mapeneeee mkwanjaa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]you will see them wanavyotetemaaa

Nakuongezea hii...

MADEM WA BONGO WANATUPENDA SANA SISI MADAKTARI

yaan ukishajitambulisha Am Dr G...... naomba tubadilishane namba ..nichapu sana

Alafu baada ya hapo. Unazuga kumpotezea, utaona mwenyewe anavyokusumbua[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nakubaliana naweee ,hizi mambo 3 zinatumika hasa kwa madem hawa wanaopenda maisha makubwa .

Ila kuna mademu hao hahaha wanaPESA na KAZI ,na GARI n.k

Hawa kuwapata, hakikisha una

[emoji117]Unaonyesha ujasiri nakujiamin

[emoji117]Hawa bana wanataka mwanaume anayewafurahisha

[emoji117]Hawa bana wanapenda Mwanaume anayewafanya wajione ni wanawake walojaaliwa na kubahatika

[emoji117]wengi wao sio wakali kivile, kwaiyo hawa wanapenda sana kusifiwa Uzuri wao wa Sura, umbo n.k

[emoji117]Hawa wanapenda maneno matamu kusikiaaaa

[emoji117]Hawa wanapenda uwe smart, ueleweke. Hata kama huna maisha ila waonyeshe kua unampango mkubwa baadae

Hayo ni machache ila utanishukuru[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kibaharia ni kwamb tunatafuta hiv ili tuwachakaze vilivyo swala la kukupenda au kukuoa hio ni mada nyingine

Mambo ni mengi mda wa mm kutaka unipende natoa wapi
Ohhh sawa baharia. Maradhi mengi lakini kuwa makini katika michezo yako. Siku ukipenda na ukapendwa ndio utajua namaanisha nini. Wewe sasa cheza baba
 
Ni kweli kabisa wala siyo utani...

Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...

Cc: mahondaw
 
Nakubaliana naweee ,hizi mambo 3 zinatumika hasa kwa madem hawa wanaopenda maisha makubwa .

Ila kuna mademu hao hahaha wanaPESA na KAZI ,na GARI n.k

Hawa kuwapata, hakikisha una

[emoji117]Unaonyesha ujasiri nakujiamin

[emoji117]Hawa bana wanataka mwanaume anayewafurahisha

[emoji117]Hawa bana wanapenda Mwanaume anayewafanya wajione ni wanawake walojaaliwa na kubahatika

[emoji117]wengi wao sio wakali kivile, kwaiyo hawa wanapenda sana kusifiwa Uzuri wao wa Sura, umbo n.k

[emoji117]Hawa wanapenda maneno matamu kusikiaaaa

[emoji117]Hawa wanapenda uwe smart, ueleweke. Hata kama huna maisha ila waonyeshe kua unampango mkubwa baadae

Hayo ni machache ila utanishukuru[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kidogo wewe unauelewa mkuu. Sasa apo si lazima uyo mwanamke awe na uwezo wa vitu vyote gari,nyumba,kazi. Mwengine unakuta anajuhudi nae zakupambana au tayari anakibiashara chake kama unavojua wanawake nao wengi saivi wanapambana so hawezi kushtulika na mali zako. Zaidi anahitaji umpe furaha n.k kama ulivomention,
 
Ukiwa na hivyo vyote hata uwe bubu wanakuja wenyewe alafu hautaonekana domo zege
 
Daah dogo unakwama asee sijazungumzia uganga bali Emotion manipulations..🙄
Nilikuja kuisoma baada ya ku comment...I gatchu brother! You have a point but the modal specifically captures real women.
 
Ok usijali.. ila endelea kutumia pesa na mengine utajuta baadae🙄🙄 Kuna vitu natamani nifunguke hapa watu wajifunze ila for the sake of my _____ ngoja nipige kimya
Mkuu usimuamini sana mwanasiasa....Tafakari hio phrase! 😂😂😂
 
Me sikubaliani na wewe. Unaweza ukawa na vyote ivo na usinivutie. Mwanamke anaweza akakupendea kitu kidogo tu harufu yako nzuri, uchangamfu wako, upole, busara yani vitu vya kawaida. Na nikakukataa we mwenye vyote ivo sababu ya kijana mwenye sifa ndogo tu. Ujue mwanaume akishakuwa na pesa, nyumba nzuri au gari anahisi anaweza miliki mwanamke yoyote amtakae kumbe siyo. Wapo kibao tunawapiga chini na hata mwanamke akiwa na wewe anakuwa ayupo serious ndio kila siku anakupiga vibomu, mara pesa ya hiki, mara ges imeisha, mara bby sina hiki. Lakini unakuta kuna mwanaume wake uyo awezi muomba ata elfu50, labda mpaka ampe mwenyewe. Na unakuta jamaa amepanga tu chumba kimoja. So kaka zangu tafuteni pesa fanyeni maendeleo kwa faida yako na familia yako apo baadae. Siyo kwaajili ya wanawake
lengo ni kukufunua chupi yako tu mkuu, hayo ya hta usiponipenda kwa dhati ni matatizo yako.
 
Back
Top Bottom