Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,432
- 191,751
- Thread starter
- #41
Hamna mwanamke mwenye akili atakataa mwanaume mwenye hizo sifa hapo. Wenyewe huwa mnakiri kabisa kuwa je, tutakula mapenzi huko kwenye ndoa? Which means lazma mwanaume wako awe well of na mipesa.Usishangae ukawa na vyote hivyo, na bado kuna wanawake wakakutaa
Wenzako wengi wanaliwa kwa lifti ya gari tu. Sasa ukisema wanawake wanaweza kukataa ukiwa na hizo SI Unit nakushangaa.