Hizi ndio SI Units za kujipatia mapenzi motomoto mjini

Hizi ndio SI Units za kujipatia mapenzi motomoto mjini

Nakubaliana na wewe, inshort hakuna udomo zege Kama unamiliki walau kimojawapo Kati yahivyo,hasa mpunga,ngawira Kama ulivyoainisha,maana pesa inabeba maana nzima,
Kifupi PESA ndiyo standard Unit,for everything
 
Number 1, umemaliza kila kitu...hiyo ndio foundation, pesa mwanaharamu
 
The time unapata hivo vyote lazima kuna Mwanamke kaisha kuganda kama ccm na kura za wizi.
Yani huwezi hata chepuka utachungwa hadi boksa unayovaa kila siku anakua anaijua.
Kwanza tayar utakua baba fulani hapo.

Pesa kidogo tu ya kuspendi inatosha kujichotea totozi kali na kiswahili yako ndo mambo yote hadi atahisi unafanya kazi NEC.
Dah jfl
 
Uko sahihi kamanda...👊👊👊.

ngoja nijitahidi nimiliki mojawapo hasa hiyo namba moja nifurahie maisha.
 
Me sikubaliani na wewe. Unaweza ukawa na vyote ivo na usinivutie. Mwanamke anaweza akakupendea kitu kidogo tu harufu yako nzuri, uchangamfu wako, upole, busara yani vitu vya kawaida. Na nikakukataa we mwenye vyote ivo sababu ya kijana mwenye sifa ndogo tu. Ujue mwanaume akishakuwa na pesa, nyumba nzuri au gari anahisi anaweza miliki mwanamke yoyote amtakae kumbe siyo. Wapo kibao tunawapiga chini na hata mwanamke akiwa na wewe anakuwa ayupo serious ndio kila siku anakupiga vibomu, mara pesa ya hiki, mara ges imeisha, mara bby sina hiki. Lakini unakuta kuna mwanaume wake uyo awezi muomba ata elfu50, labda mpaka ampe mwenyewe. Na unakuta jamaa amepanga tu chumba kimoja. So kaka zangu tafuteni pesa fanyeni maendeleo kwa faida yako na familia yako apo baadae. Siyo kwaajili ya wanawake
 
You nailed it Man..
Demu wangu wa chuo kanipiga chini juzi tuu hapa kisa hizo SI units..Sina hata moja hapo .Niko na P.U.m.bu tu.
Basi kaza mwanetu, ukiwa na bucks huachwi 😂
 
Back
Top Bottom