Hizi ndio SI Units za kujipatia mapenzi motomoto mjini

Hizi ndio SI Units za kujipatia mapenzi motomoto mjini

Uko wapi nakuja kuku pick na chuma moja kali sana imekula rim ya dubai, nampitisha super market nachukua vinywaji kisha namuomba tuelekee ghetto kuna kitu napitia lazima akubali hadi hapo, akifika geto kali tv kuuuubwa panawaka afu natia sound hapo hapo! Habari imeisha
 
Me sikubaliani na wewe. Unaweza ukawa na vyote ivo na usinivutie. Mwanamke anaweza akakupendea kitu kidogo tu harufu yako nzuri, uchangamfu wako, upole, busara yani vitu vya kawaida. Na nikakukataa we mwenye vyote ivo sababu ya kijana mwenye sifa ndogo tu. Ujue mwanaume akishakuwa na pesa, nyumba nzuri au gari anahisi anaweza miliki mwanamke yoyote amtakae kumbe siyo. Wapo kibao tunawapiga chini na hata mwanamke akiwa na wewe anakuwa ayupo serious ndio kila siku anakupiga vibomu, mara pesa ya hiki, mara ges imeisha, mara bby sina hiki. Lakini unakuta kuna mwanaume wake uyo awezi muomba ata elfu50, labda mpaka ampe mwenyewe. Na unakuta jamaa amepanga tu chumba kimoja. So kaka zangu tafuteni pesa fanyeni maendeleo kwa faida yako na familia yako apo baadae. Siyo kwaajili ya wanawake
Ewaaaaaah

Sherry design yako mko na love1 ya mahaba Sugu
 
Ukiwa na kagetho kameenda shule, vibint kama hivi kama unasukuma ubuyu
IMG_20201101_133818_656.jpg
 
Mimi ni mwanamke mwenye akili na huwa ninawakataa hao watu wenye hela ambao wanafikiri they can get me kwa sababu tu wana hela. Ni mwanamke asiye na akili tu ndiye ataona tu una vijicent afu akajilengesha fasta bila kuangalia una vitu gani vya ziada unaweza kumu-offer. Pesa ni ya muhimu sana; lakini sio kila kitu kwenye mahusiano. Tabia yako, kujitambua, heshima n.k vinaweza vikakufanya ukakataliwa.

Hivi seriously kabisa na wewe unakuwa na mwanamke eti kisa kaona ana gari so atakuwa anapata lift; yaani lift ikutoe utu.

Btw hongereni; kumbe wakaka wa humu mna mifwedha hivyo. Naona kila mtu leo kapendewa mifwedha na baby ake, hamna pangu pakavu anayependwa, wala wale tunaojitiaga moyo "he has a promising future" hakuna humu leo. Mnitumiepo basi tuvocha jamani

Thanks kwa kuuleta huu uzi wako, me mwenyewe nilikuwa naplan kuuleta kwenye mada hii.

Ila my sista we shukuru Mungu huna njaa ndogo ndogo ndo maana haikuingii akilini wenzio wanavojirahisi kwa kushobokea hivo vitu 3.

You have your own standard and limits
 
Hahaha my kaka njaa ninayo haswa; ni vile tu siiendekezi. Afu na ka-pride ka kinyaki kananiboost lol
Thanks kwa kuuleta huu uzi wako, me mwenyewe nilikuwa naplan kuuleta kwenye mada hii.

Ila my sista we shukuru Mungu huna njaa ndogo ndogo ndo maana haikuingii akilini wenzio wanavojirahisi kwa kushobokea hivo vitu 3.

You have your own standard and limits
 
Ni kweli tunapenda sana maisha ya kuanza from scratch na kuona progress yetu ilivyo. We love dat for sure ila wanawake wasio financial independent ndio wametengeneza ufalme wa wanaoita kudanga.

Wana opt wanaume wanaochanua kiuchumi tu...ukiwa kapuku unatoswa mapema tu kumbe nia yetu ni nzuri.
Aaaah uwaseme na wanaume wenzio kibao tu ambao wanaanza na mabinti wa watu from scratch, afu zikianza tu kunukia ndio anatafutwa "dream woman" wa kuzitumia. Wewe mwenzangu na mimi tena siyo type yake; ulikuwa tu available kwa wakati ule ambao hakuweza kuwapata wa ndoto zake; you are not what he wants. Mtu anaona shida ya nini; zitafute kwanza ukishazipata njoo; hata ukininyanyasa sawa tu. Sio mzitafute wote afu muda wa raha unaenda kudangwa khaaaa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Me sikubaliani na wewe. Unaweza ukawa na vyote ivo na usinivutie. Mwanamke anaweza akakupendea kitu kidogo tu harufu yako nzuri, uchangamfu wako, upole, busara yani vitu vya kawaida. Na nikakukataa we mwenye vyote ivo sababu ya kijana mwenye sifa ndogo tu. Ujue mwanaume akishakuwa na pesa, nyumba nzuri au gari anahisi anaweza miliki mwanamke yoyote amtakae kumbe siyo. Wapo kibao tunawapiga chini na hata mwanamke akiwa na wewe anakuwa ayupo serious ndio kila siku anakupiga vibomu, mara pesa ya hiki, mara ges imeisha, mara bby sina hiki. Lakini unakuta kuna mwanaume wake uyo awezi muomba ata elfu50, labda mpaka ampe mwenyewe. Na unakuta jamaa amepanga tu chumba kimoja. So kaka zangu tafuteni pesa fanyeni maendeleo kwa faida yako na familia yako apo baadae. Siyo kwaajili ya wanawake
eeewaaaaaaa 🥰
 
Hamna mwanamke mwenye akili atakataa mwanaume mwenye hizo sifa hapo. Wenyewe huwa mnakiri kabisa kuwa je, tutakula mapenzi huko kwenye ndoa? Which means lazma mwanaume wako awe well of na mipesa.

Wenzako wengi wanaliwa kwa lifti ya gari tu. Sasa ukisema wanawake wanaweza kukataa ukiwa na hizo SI Unit nakushangaa.
bado ujatujua vizuri mkuu endelea kutusoma maana kuna wakt mwingne ata sisi hatujilewii 😉😀😀
 
Baada ya pepo mmbaya kukatiza katika mahusiano mengi mwezi wa 9 na wa 10 hapo natumai wahanga wanaendelea vizuri ila ningependa tukumbushane mambo muhimu kidogo.

Wazee SI Units za mapenzi motomoto hapa mjini ni kama ifuatavyo:
1.Pesa,Penenge, Mpunga,
Ngawira, Mtonyo, Shekeli,
Mshiko.

2.Gari, Chombo, Usafiri, Mjapani, Mwamvuli wenye matairi.

3.Makazi ya kueleweka kuishi binadamu yenye facilities zote muhimu. Iwe Ghetto au Apartment but hakikisha kitu self-contained na hapachoshi kukaa.

Wanangu wote jitahidini tuishi humo. Najua wengi mlifeli katika maeneo hayo hapo juu ila turekebishe makosa. Watoi wa tao wote wanalenga humo na ni rahisi sana kumtia mipango akikuta uko katika mazingira hayo iwe ya muda mfupi au mrefu. Tuishi humo!!!

NB: Sio lazima uwe na vyote ila hakikisha usikose Unit namba 1! Huwa inasawazisha mikingamo yote... i call it filler!
Naona unawastua Wana[emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom