Biblia siyo gazeti kijana, unahitaji spiritual divine kuelewa maana ya unachosoma..atizamavyo binadamu si kama atizamavyo Mungu..hizo zilikuwa sifa alizotaja Nebukadreza, vijana hawa wanne wa kiebrania wala hawakutoka familia za kifalme km ulivyoandika, ktk kila hatua ya maisha yetu huwa lipo kusudi la Mungu, vijana hawa pamoja na kukosa sifa mojawapo alizotaja mfalme. Mungu aliwapitisha hatua hii ili watumikie kusudi lake..sisi binadam tuna mapungufu mengi kwny process za kupata viongoz na hatujali wala kujua kusudi la Mungu ni niniL, tunavuruga vuruga tu ili kujifurahisha sisi kwa sisi, ndio maana leo ni kama tumefanya vizuri kwenye ajenda ya maendeleo na kesho tu narudi hatua mbili nyuma tena zaid hata ya pale tulikuwa mwanzo.