Hizi ndio sifa kuu za mama Samia

Hizi ndio sifa kuu za mama Samia

BrownRange

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2020
Posts
927
Reaction score
1,191
1. Hapendi unafiki
2. Ananyoosha maelezo
3. Hapendi uongo uongo
4. Ni mpenda demokrasia
5. Hatumii nguvu kutuongoza
6. Hana jaziba kuliendea jambo
7. Ni msikivu
8. Ni mwanamaendeleo

Ulipo tupo Rais wangu kipenzi. Nitayatangaza mazuri yako popote pale.
 
Ukisikia uchawa ndio huu. Wahenga walisema "kizuri cha jiuza na kibaya chajitembeza".

nami nasema "Wacha mvua inyeshe tujue panapovuja"
 
1. Hapendi unafiki
2. Ananyoosha maelezo
3. Hapendi uongo uongo
4. Ni mpenda demokrasia
5. Hatumii nguvu kutuongoza
6. Hana jaziba kuliendea jambo
7. Ni msikivu
8. Ni mwanamaendeleo

Ulipo tupo Rais wangu kipenzi. Nitayatangaza mazuri yako popote pale.
Angekosa Jazba asingemsulubu Ndugai
 
Angekosa Jazba asingemsulubu Ndugai
Rais ana mamlaka gani kwa Speaker, ukiniainishia kifungu Cha katiba natakuelewa. Ndugai alijiuzulu mwenyewe kwa sababu anazozijua yeye
 
Rais ana mamlaka gani kwa Speaker, ukiniainishia kifungu Cha katiba natakuelewa. Ndugai alijiuzulu mwenyewe kwa sababu anazozijua yeye
Huwezi kuitwa great thinker kama hujui, speaker alikua nominated na CCM na Rais ndio mwenyekiti wa CCM.

Pili unajua kabisa Speaker ni mbunge na kadi yake ya chama ikifutwa anapoteza vyote.

Hata hilo hujui...
 
Kuna mtu amesema Rais ndio kamfukuza Uspeaker, ndio nimemuuliza Rais ana mamlaka gani kwa Speaker, Sijazungumzia mwenyekiti wa CCM. Unatakiwa uelewe mantiki yangu iko wapi. Hayo ya CCM waachie wenyewe CCM. Hiyo ni mada nyingine. Umeona Rais ameandika barua ya kutengua Speaker
 
1. Hapendi unafiki
2. Ananyoosha maelezo
3. Hapendi uongo uongo
4. Ni mpenda demokrasia
5. Hatumii nguvu kutuongoza
6. Hana jaziba kuliendea jambo
7. Ni msikivu
8. Ni mwanamaendeleo

Ulipo tupo Rais wangu kipenzi. Nitayatangaza mazuri yako popote pale.
Ni kweli kabisa sijui kwann album muachia gaid DJ
 
Mama Samia vs Mwendazake
1. Hapendi unafiki 1.
2. Ananyoosha maelezo
3. Hapendi uongo uongo
4. Ni mpenda demokrasia
5. Hatumii nguvu kutuongoza
6. Hana jaziba kuliendea jambo
7. Ni msikivu
8. Ni mwanamaendeleo

Kwa hiyo za Mwendazake ni opposite ya hizo ama? !!
 
1. Hapendi unafiki
2. Ananyoosha maelezo
3. Hapendi uongo uongo
4. Ni mpenda demokrasia
5. Hatumii nguvu kutuongoza
6. Hana jaziba kuliendea jambo
7. Ni msikivu
8. Ni mwanamaendeleo

Ulipo tupo Rais wangu kipenzi. Nitayatangaza mazuri yako popote pale.
Kwa mwendo huu Alipo nipo na mimi
 
Makuzi ya mama Samia yalikuwa ni yenye mzizsingi ya dini. Hivyo uwongo, unafiki na uzandiki kwake mwiko
Imethibitika. Bahati mbaya tu Mungu akampeleka ccm kwa makusudi.

Ni sawa na Musa alikulia kwa Farao akawaokoa ndugu zake
 
1. Hapendi unafiki
2. Ananyoosha maelezo
3. Hapendi uongo uongo
4. Ni mpenda demokrasia
5. Hatumii nguvu kutuongoza
6. Hana jaziba kuliendea jambo
7. Ni msikivu
8. Ni mwanamaendeleo

Ulipo tupo Rais wangu kipenzi. Nitayatangaza mazuri yako popote pale.
Namba 4, 5, na 6 hizo sifa hana ni uongo ni kinyume chake
 
Back
Top Bottom