BrownRange
JF-Expert Member
- Dec 25, 2020
- 927
- 1,191
Angekosa Jazba asingemsulubu Ndugai1. Hapendi unafiki
2. Ananyoosha maelezo
3. Hapendi uongo uongo
4. Ni mpenda demokrasia
5. Hatumii nguvu kutuongoza
6. Hana jaziba kuliendea jambo
7. Ni msikivu
8. Ni mwanamaendeleo
Ulipo tupo Rais wangu kipenzi. Nitayatangaza mazuri yako popote pale.
Rais ana mamlaka gani kwa Speaker, ukiniainishia kifungu Cha katiba natakuelewa. Ndugai alijiuzulu mwenyewe kwa sababu anazozijua yeyeAngekosa Jazba asingemsulubu Ndugai
Huwezi kuitwa great thinker kama hujui, speaker alikua nominated na CCM na Rais ndio mwenyekiti wa CCM.Rais ana mamlaka gani kwa Speaker, ukiniainishia kifungu Cha katiba natakuelewa. Ndugai alijiuzulu mwenyewe kwa sababu anazozijua yeye
Kuna mtu amesema Rais ndio kamfukuza Uspeaker, ndio nimemuuliza Rais ana mamlaka gani kwa Speaker, Sijazungumzia mwenyekiti wa CCM. Unatakiwa uelewe mantiki yangu iko wapi. Hayo ya CCM waachie wenyewe CCM. Hiyo ni mada nyingine. Umeona Rais ameandika barua ya kutengua SpeakerHuwezi kuitwa great thinker kama hujui, speaker alikua nominated na CCM na Rais ndio mwenyekiti wa CCM.
Pili unajua kabisa Speaker ni mbunge na kadi yake ya chama ikifutwa anapoteza vyote.
Hata hilo hujui...
Ni kweli kabisa sijui kwann album muachia gaid DJ1. Hapendi unafiki
2. Ananyoosha maelezo
3. Hapendi uongo uongo
4. Ni mpenda demokrasia
5. Hatumii nguvu kutuongoza
6. Hana jaziba kuliendea jambo
7. Ni msikivu
8. Ni mwanamaendeleo
Ulipo tupo Rais wangu kipenzi. Nitayatangaza mazuri yako popote pale.
Kwa mwendo huu Alipo nipo na mimi1. Hapendi unafiki
2. Ananyoosha maelezo
3. Hapendi uongo uongo
4. Ni mpenda demokrasia
5. Hatumii nguvu kutuongoza
6. Hana jaziba kuliendea jambo
7. Ni msikivu
8. Ni mwanamaendeleo
Ulipo tupo Rais wangu kipenzi. Nitayatangaza mazuri yako popote pale.
Imethibitika. Bahati mbaya tu Mungu akampeleka ccm kwa makusudi.Makuzi ya mama Samia yalikuwa ni yenye mzizsingi ya dini. Hivyo uwongo, unafiki na uzandiki kwake mwiko
mwisho wa mwaka 2022 maza kachukua point kibao, watu wamenunajeKwa mwendo huu Alipo nipo na mimi
Wazee wa weka ugoko niweke chuma wamechukia sanamwisho wa mwaka 2022 maza kachukua point kibao, watu wamenunaje
Namba 4, 5, na 6 hizo sifa hana ni uongo ni kinyume chake1. Hapendi unafiki
2. Ananyoosha maelezo
3. Hapendi uongo uongo
4. Ni mpenda demokrasia
5. Hatumii nguvu kutuongoza
6. Hana jaziba kuliendea jambo
7. Ni msikivu
8. Ni mwanamaendeleo
Ulipo tupo Rais wangu kipenzi. Nitayatangaza mazuri yako popote pale.