Tajiri Mapesa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2020
- 707
- 728
Goddes Goddess, huko kuna marupurupu kibao dadaKwani hawa si wanalipwa kutokana na elimu na muda kazini?! kasoro ngorongoro ndo anajilipa mshahara
Ss ww unaandika unono, unono upi unaongelea ww
Nina ndugu zangu na marafiki wanafanya kazi huko
Kwani hawa si wanalipwa kutokana na elimu na muda kazini?! kasoro ngorongoro ndo anajilipa mshahara
Ss ww unaandika unono, unono upi unaongelea ww
Naona unalisha wadau tango pori.Wanaondesha Zile Folk Lift kubwa pale Bandari wanakula 2m Kwa Mwezi Mshahara tuu huo Na wanafanya kazi masaa manne manne tuu
Anawatengenezea mazingira muone kafulia msimpige vizinga[emoji16]Kuna mmoja namjua analipwa 15M lakini maisha yake ya ajabu, anakugongea elfu 50 hadi uñajiukiza huyu MTU analipwa hiyo hela kwel
Sent using Jamii Forums mobile app
Mshahara wenyewe shilling ngapi? Mbona wengi wa hoa tunakaa nao mitaani full kukopa! Maisha ya kawaida saana isipokuwa TRA na BoT
Acha kujipa moyo binti kiziwi, ujue kuna taasisi zinazalisha pesa tena bila kutumia mtaji mfano kama TPA, EWURA, TBS n.k kwanini zisiwamwagie mishahara minono watu wake.Wafanyakazi wa umma labda watambiane wizi na deals na si mishahara, mishahara ni vichekesho isipokuwa kwa nafasi chache sana kwenye hizo mamlaka, taasisi na mashirika ya umma.
Huwa nikiona salary scales za serikali ndipo huwa nakumbuka ni kwa kiasi gani nchi yetu ni masikini bado.
Mkuu mimi Niko sensitive sana na mshahara, kazi yangu ya kwanza nilikua nalipwa laki nane na nusu take home, huku nimepewa nyumba, gharama za umeme plus maji lakini nilifanya kazi mwaka mmoja tu nikaandika barua ya kuacha kazi nikaomba kazi mahali pengineWewe utakuwa mtafuta kazi sio bure na sisi tulikuwa na fikira kama zako hapo kabla.
By the way,nadhani SSRA umisha futwa pia scale za mishahara ya binge in sasa na za Wizara na Halmashauri.
Ndungu,mshahata hata ulipwe million 100 kwa mwezi ni sawa na bure.