Unaweza sikia mtu anasema "jana nimekula chakula kitamu sijawahi ona"
ukaja kumuuliza ulikula chakula gani, akakujibu "ugali,mlenda na chunga pembeni"
ukabaki unatoa macho tu,ila ukweli ni kwamba kila mtu ana jua n kwann chakula flani n ktamu
kila mtu ana sifa zake na vipaumbele vyake mpk kufikia kusema chakula flani ni kitamu
Mh.Tajiri Mapesa kwako wewe hizo ndio taasis zako zinazomwaga pesa (sikupingi kabisa)
maana sijui kwako Mipesa inaanzia sh.ngapi,ila ki upande wangu Hapo hujataja hata 1
ya Taasis zinazomwaga mi pesa,hii ni kwasababu tumetofautiana ktk maono ya kujua pesa inaanzia sh.ngapi.