Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

sio kweli
kuna jamaa zangu wako tra wameajiriwa mwaka 2017,wanalipwa basic 960k,kuna mwana mwingine yuko kadco analipwa basic 900k.BOT kuna jamaa yangu yeye ni security officer kazi yake ni kusindikiza pesa kufikia mwaka juzi 2018 salary ilikuwa 900k.ukiangalia hiyo mishahara ni ya kawaida sana mkuu.
Duh wanazidiwa na TMP wa Tanesco
 
Mkuu
Mkuu mimi Niko sensitive sana na mshahara, kazi yangu ya kwanza nilikua nalipwa laki nane na nusu take home, huku nimepewa nyumba, gharama za umeme plus maji lakini nilifanya kazi mwaka mmoja tu nikaandika barua ya kuacha kazi nikaomba kazi mahali pengine
Broo umenitisha sanaaaa mpunga km huo unaukataa??ila Kama Una kigezo/taaluma ya juu/uwezo wa juu zaidi Una kiburi mbona mambele wanacchukua mzigo wa maana......
 
Back
Top Bottom