Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Wakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake

1.TPDC
2. TCRA
4.Ngorongoro
3.Ewura
4. WCF
5.TBS
5.TANAPA
5. Tume ya madini
6. Mamlaka ya chakula na dawa
7.SSRA
8.NSSF/PSSSF
9.BOT
9.Bunge
9.ofisi ya mkemia mkuu wa serikali
10.TASAC
10. TRA
11.MSD
11.TAKUKURU
11. EGA
12.NHIF
13.TPA
13. TIC
14.KADCO
15.TANESCO
16.TANROAD
17.TAA
Hivi, kipimo cha mshahara mnono ni kipi au mshahara mnono unaanzia hela ngapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake

1.TPDC
2. TCRA
4.Ngorongoro
3.Ewura
4. WCF
5.TBS
5.TANAPA
5. Tume ya madini
6. Mamlaka ya chakula na dawa
7.SSRA
8.NSSF/PSSSF
9.BOT
9.Bunge
9.ofisi ya mkemia mkuu wa serikali
10.TASAC
10. TRA
11.MSD
11.TAKUKURU
11. EGA
12.NHIF
13.TPA
13. TIC
14.KADCO
15.TANESCO
16.TANROAD
17.TAA
Uongo mtupu,kuna jamaa namjua aliacha Tanesco alikuwa analipwa kilo 8 per month ,na kuna jamaa niliona slip yake kwa mwezi anakula 35m kampuni binafsi na pia kuna mabwana wadogo kibao wanalamba 6m mpaka 15m kwa mwezi kwenye makampuni binafsi na haujayataja kabisa.
 
Km yapi mkuu tukajiongeze aisee..SHARING IS CARING

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You are very right boss.
According to your level, can you mention at least 2. I am interested to know

Msaada tafadhali.

Sent using Jamii Forums mobile app
ninazo zangu ambazo hazitakuwa sawa na zako

hizo ulizotajiwa nadhani zinakutosha,kama huzifahamu nyingine

yawezekana hukutakiwa kuzifahamu ila muda ukifika Utazifahamu bila hata kuziulizia.
 
Mtoa mada nikupe tu TAARIFA WATUMISHI wengi NI WATUMISHI wa kawaida wasokua na vyeo

Na mshahara wa MWISHO wa mtumishi wa serikali NI sh 2,727,500/- unless km ana cheo km mkuu wa KITENGO au idara au mkuu wa taasisi msikaririshane Mambo ambayo hayapo na nkupe tu TAARIFA huyo ambaye yupo TRA mwenye degree anaeanza Kazi Hana tofauti na mwenye degree ya maendeleo ya JAMII wa Moshi vijijini

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu me nakupinga kuna tofauti kubwa ya mshahara kati ya mtumishi alioajiriwa Local government na mtumishi alioajiriwa kwny izi tasisi mtumishi mwny degree ambaye yupo local government (izi halmashauri zetu ) basic salary yke ni 710,000/ wakati kwny tasisi mwny degree wanaanza kuchukua 1.5m hadi 1.8m kutegemeana na taasisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina mashaka na mtoa mada juu ya taarifa zako. Sijui ni mimi tu au tasfiri ya mshahara mkubwa ni maana pana, labda ungeweka ni kiasi gani unamaanisha huu ni mshahara mkubwa.

Benki kuu (BoT) mshahara wa mchumi daraja la pili au la tatu huanzia Tshs. milioni 1.8 ~ 2.2 kabla ya makato. Hizi ni taarifa kipindi nilichokuwepo na sio muda mrefu sana toka nitoke. (Huyu ni mtu mtu mwenye shahada ya uchumi aliyetokea chuo na mara nyingi huwa anakuwa ktk hatua za mwisho za kumaliza elimu yake ya umahiri yaani masters)

Mamlaka ya mapato (TRA) kuna miaka kadhaa nyuma sio muda mrefu sana pia walinitumia barua ya kuitwa kazini japo sikufanya usaili nahisi walituma kimakosa ile barua au mkuu wa idara chuoni kwangu nilikokuwa nasoma alituma CV yangu maana alikuwa nayo, kipindi fulani nadhani walifuata moja kwa moja vyuoni wanafunzi. Ile barua ilinionyesha mshahara ulikuwa Tshs. 960,000.

Hizo figure wanaweza weka sawa watu walioko huko mpaka sasa zngu ni za nyuma kidogo. Mtoa mada unapaswa uainishe unamaanisha kuanzia kiasi gani ndio mshahara mkubwa? na kwa ngazi ipi? Hiyo mishahara niliyoweka hapo juu ina tafsiri tofauti tofauti kulingana na kundi unaloliwasilishia mf. mzuri ni hapa hapa JamiiForums.
 
Wakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake

1.TPDC
2. TCRA
4.Ngorongoro
3.Ewura
4. WCF
5.TBS
5.TANAPA
5. Tume ya madini
6. Mamlaka ya chakula na dawa
7.SSRA
8.NSSF/PSSSF
9.BOT
9.Bunge
9.ofisi ya mkemia mkuu wa serikali
10.TASAC
10. TRA
11.MSD
11.TAKUKURU
11. EGA
12.NHIF
13.TPA
13. TIC
14.KADCO
15.TANESCO
16.TANROAD
17.TAA
weka viwango
 
Mtoa mada nikupe tu TAARIFA WATUMISHI wengi NI WATUMISHI wa kawaida wasokua na vyeo

Na mshahara wa MWISHO wa mtumishi wa serikali NI sh 2,727,500/- unless km ana cheo km mkuu wa KITENGO au idara au mkuu wa taasisi msikaririshane Mambo ambayo hayapo na nkupe tu TAARIFA huyo ambaye yupo TRA mwenye degree anaeanza Kazi Hana tofauti na mwenye degree ya maendeleo ya JAMII wa Moshi vijijini

Sent using Jamii Forums mobile app
Muongo, yawezekana hujui unachoongea
 
Nina mashaka na mtoa mada juu ya taarifa zako. Sijui ni mimi tu au tasfiri ya mshahara mkubwa ni maana pana, labda ungeweka ni kiasi gani unamaanisha huu ni mshahara mkubwa.

Benki kuu (BoT) mshahara wa mchumi daraja la pili au la tatu huanzia Tshs. milioni 1.8 ~ 2.2 kabla ya makato. Hizi ni taarifa kipindi nilichokuwepo na sio muda mrefu sana toka nitoke. (Huyu ni mtu mtu mwenye shahada ya uchumi aliyetokea chuo na mara nyingi huwa anakuwa ktk hatua za mwisho za kumaliza elimu yake ya umahiri yaani masters)

Mamlaka ya mapato (TRA) kuna miaka kadhaa nyuma sio muda mrefu sana pia walinitumia barua ya kuitwa kazini japo sikufanya usaili nahisi walituma kimakosa ile barua au mkuu wa idara chuoni kwangu nilikokuwa nasoma alituma CV yangu maana alikuwa nayo, kipindi fulani nadhani walifuata moja kwa moja vyuoni wanafunzi. Ile barua ilinionyesha mshahara ulikuwa Tshs. 960,000.

Hizo figure wanaweza weka sawa watu walioko huko mpaka sasa zngu ni za nyuma kidogo. Mtoa mada unapaswa uainishe unamaanisha kuanzia kiasi gani ndio mshahara mkubwa? na kwa ngazi ipi? Hiyo mishahara niliyoweka hapo juu ina tafsiri tofauti tofauti kulingana na kundi unaloliwasilishia mf. mzuri ni hapa hapa JamiiForums.
Sasa mkuu Kuna taasisi unaanza na 710,000/= na tena bila allowance.
Bado naona mtoa mada yuko sahihi
 
sio kweli
kuna jamaa zangu wako tra wameajiriwa mwaka 2017,wanalipwa basic 960k,kuna mwana mwingine yuko kadco analipwa basic 900k.BOT kuna jamaa yangu yeye ni security officer kazi yake ni kusindikiza pesa kufikia mwaka juzi 2018 salary ilikuwa 900k.ukiangalia hiyo mishahara ni ya kawaida sana mkuu.
 
sio kweli
kuna jamaa zangu wangu tra wameajiriwa mwaka 2017,wanalipwa basic 960k,kuna mwana mwingine yuko kadco analipwa basic 900k.BOT kuna jamaa yangu yeye ni security officer kazi yake ni kusindikiza pesa kufikia mwaka juzi 2016 salary ilikuwa 900k.ukiangalia hiyo mishahara ni ya kawaida sana mkuu.
Sasa mkuu security analipwa 900 na cheti chake cha form4 unasema kawaida.
Wakati Kuna watu wana degree wanalipwa 710
 
Back
Top Bottom