Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Wakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake

1. TPDC
2. TCRA
4. Ngorongoro
3. Ewura
4. WCF
5. TBS
5. TANAPA
5. Tume ya madini
6. Mamlaka ya chakula na dawa
7. SSRA
8. NSSF/PSSSF
9. BOT
9. Bunge
9. Ofisi ya mkemia mkuu wa serikali
10. TASAC
10. TRA
11. MSD
11. TAKUKURU
11. EGA
12. NHIF
13. TPA
13. TIC
14. KADCO
15. TANESCO
16. TANROAD
17. TAA
Tuainishie na viwango Basi kwa ajili ya urahisi wa ulinganifu na urahisi wa rejea.
 
Bunge ndio linaongoza kupiga mpunga. Wamewasahau kabisa vijana badala yake wanalaghai kuwa hizo taasisi ndio zinalipa.

Propaganda!
 
Wengi wao hapo kwa sasa wanatumia TGS, kwahiyo unaweza ku google viwango vya TGS vinaanzia ngapi hadi ngapi. Lakini ukikuta wanatumia mfumo wao wa mishahara, hapo utakuwa umelamba Dume (kwenye karata).

Kwahiyo kinachofanyika kwenye taasisi baadhi ya hizo zilizotajwa hapo juu, wanakuwa na malupulupu mengi, mfano overtime, kodi ya nyumba, pesa ya chakula, pesa ya madhingira magumu, pesa za safari, n.k
 
Hakuna hata moja inayolipa vyema. Mshahara wa Afisa katika Taasisi zote hizo ni chini ya 1.7 bila makato. Ukiweka makato mpokeaji anapokea kati ya 1Mil To 800K inategemea kama alikopa Bodi.

Nadhani ulipaswa kusema Taasisi zenye mianya ya kupiga pesa kwa njia ya udokozi bila kudakwa kwa kipindi kirefu.

Na sio zote katika hizo. Ni chache kama vile tume ya madini, Ngorongoro, TPA, Takukuru MSD, GPSA, TRA.



Mk54
Vipi kuhusu TBS na COSTECH
 
Wakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake

1. TPDC
2. TCRA
4. Ngorongoro
3. Ewura
4. WCF
5. TBS
5. TANAPA
5. Tume ya madini
6. Mamlaka ya chakula na dawa
7. SSRA
8. NSSF/PSSSF
9. BOT
9. Bunge
9. Ofisi ya mkemia mkuu wa serikali
10. TASAC
10. TRA
11. MSD
11. TAKUKURU
11. EGA
12. NHIF
13. TPA
13. TIC
14. KADCO
15. TANESCO
16. TANROAD
17. TAA
Umesahau TBC Taifa & TBC 1
 
Wakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake

1. TPDC
2. TCRA
4. Ngorongoro
3. Ewura
4. WCF
5. TBS
5. TANAPA
5. Tume ya madini
6. Mamlaka ya chakula na dawa
7. SSRA
8. NSSF/PSSSF
9. BOT
9. Bunge
9. Ofisi ya mkemia mkuu wa serikali
10. TASAC
10. TRA
11. MSD
11. TAKUKURU
11. EGA
12. NHIF
13. TPA
13. TIC
14. KADCO
15. TANESCO
16. TANROAD
17. TAA
Vip Vyuo vikuu kama Sua, Mzumbe, Udsm, Udom n.K kwa ajira za wasiokuwa walimu malipo yakoje kwa degree, diplima holder
 
Back
Top Bottom