Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Tuainishie na viwango Basi kwa ajili ya urahisi wa ulinganifu na urahisi wa rejea.
 
Bunge ndio linaongoza kupiga mpunga. Wamewasahau kabisa vijana badala yake wanalaghai kuwa hizo taasisi ndio zinalipa.

Propaganda!
 
Wengi wao hapo kwa sasa wanatumia TGS, kwahiyo unaweza ku google viwango vya TGS vinaanzia ngapi hadi ngapi. Lakini ukikuta wanatumia mfumo wao wa mishahara, hapo utakuwa umelamba Dume (kwenye karata).

Kwahiyo kinachofanyika kwenye taasisi baadhi ya hizo zilizotajwa hapo juu, wanakuwa na malupulupu mengi, mfano overtime, kodi ya nyumba, pesa ya chakula, pesa ya madhingira magumu, pesa za safari, n.k
 
Vipi kuhusu TBS na COSTECH
 
Umesahau TBC Taifa & TBC 1
 
Vip Vyuo vikuu kama Sua, Mzumbe, Udsm, Udom n.K kwa ajira za wasiokuwa walimu malipo yakoje kwa degree, diplima holder
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…