Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Haka kadada kaongo jamani na kamekomaa na uongo.
Eti 2.6mil ndo mshahara wa Mhadhiri, yaani kuna watu wabishi jamani.
Kamesahau kuna Tutorial Assistant na Assistant Lecturer.
Nakuambia 2.6mil ni mshahara wa msaidizi sio Mhadhiri.
Mimi niliamua kumuacha, mbishi na hajui tu huyu mdada.
 
si wote kuna ma-engineer wanakula kuanzia 2M mpka 4M
mfano
Electrical engineer ,namjua jamaa mmoja wa kwenye umeme anakula 3.5 na hana idara yyte ya kusimamia
 
Hata huko tra sio hivo Kuna watumishi wako kazini more than 15 years na hawafiki milion tatu mkuu tena na elimu juu. Msiwe wabishi bana
 
Haka kadada kaongo jamani na kamekomaa na uongo.
Eti 2.6mil ndo mshahara wa Mhadhiri, yaani kuna watu wabishi jamani.
Kamesahau kuna Tutorial Assistant na Assistant Lecturer.
Nakuambia 2.6mil ni mshahara wa msaidizi sio Mhadhiri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unataka usikie milion kumi kitu ambacho sicho tutorial tu assistant hela yangu ndogo tu, acheni makasiriko kwangu ukitaka utajiri ujiajiri mkuu. Hyo tutorial nakwambia ya kawaida nyie ndio mkienda kazini hamfanyi kazi mnaanza wizi
 
Hata huko tra sio hivo Kuna watumishi wako kazini more than 15 years na hawafiki milion tatu mkuu tena na elimu juu. Msiwe wabishi bana
UONGO HAYUPO, WENYE MIAKA 8 sasa wanakula kuanzia 3M kwenda juu afu useme miaka 15??
 
Hizo kamba mkuu hyo hela ni mshahara wa Dr tena mhadhiri wa chuo kikuu

Bro huo mbona wa kawaida tu mama juzi kaongeza watu wanachukua karibu 3 point wana degree tu na miaka isio Zidi mitano kazin mkuu
 
Mashamba uyu kuna watu

fuel allowance tu 1m

mawasiliano 3lk

House 5lk

Basic 1.8

Huyo ni waserikali na ana miaka 4 kazin tunao maofisin
 
UONGO HAYUPO, WENYE MIAKA 8 sasa wanakula kuanzia 3M kwenda juu afu useme miaka 15??
Wapo wengi tu Sasa tena aliomba connection akahamishwa hyo sehemu na anakatibia kustaafu, nikiona watu wanadaganyana kuhusu salary humu nasema hiiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…