Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Wakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake

1. TPDC
2. TCRA
4. Ngorongoro
3. Ewura
4. WCF
5. TBS
5. TANAPA
5. Tume ya madini
6. Mamlaka ya chakula na dawa
7. SSRA
8. NSSF/PSSSF
9. BOT
9. Bunge
9. Ofisi ya mkemia mkuu wa serikali
10. TASAC
10. TRA
11. MSD
11. TAKUKURU
11. EGA
12. NHIF
13. TPA
13. TIC
14. KADCO
15. TANESCO
16. TANROAD
17. TAA
Kadco [emoji39][emoji39][emoji39]
 
Sasa private una grow hata career yako ukiwa vizuri ajira hazisumbui maana kuwa tu private ni bonge la risk taker tofauti na serikalini wamebweteka hata utendaji wao wa kazi Haina ubunifu ni Bora liende tu
Ndo wanavyopenda kutegeana kazi private wako nondo
 
Mshahara wenyewe huongezewa 15000
Inategemea na hiyo private unayoizungumzia wewe iko vipi..kuliko kuwa kwenye vijikampuni hivi vya wachina au wahindi bora niwe serikalini tu..private ukiwa kwenye NGO za kimataifa na makampuni makubwa kama TBL,serengeti, TCC na mengine ya aina hiyo naweza kushawishika kuwa huko kuna maisha ila sio umeajiriwa kwa kampuni za wachina nawe eti unawavimbia watu walioko government,tunajua mishahara ya wachina huwa haizidi laki 4.
 
Una maanisha JWTZ?? Kama ndio hivyo haipo mzee.. Jamaa wanalipwa pesa ya kawaida tu.
Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
Mwenye degree jwtz anakunja milion 2.7 coz proffessional allowances ni laki 9 kwa mwenye bachelor na laki 8 kwa diploma + maji+ umeme+ vinywaji + meals+ ngome+ pedi ( kwa w
Mwanamke)yaan salary slip za askari wa jwtz imeshiba mnoo Nashangaa hawapo kwenye hiyo chart yakoo ya magumashi
 
Inategemea na hiyo private unayoizungumzia wewe iko vipi..kuliko kuwa kwenye vijikampuni hivi vya wachina au wahindi bora niwe serikalini tu..private ukiwa kwenye NGO za kimataifa na makampuni makubwa kama TBL,serengeti, TCC na mengine ya aina hiyo naweza kushawishika kuwa huko kuna maisha ila sio umeajiriwa kwa kampuni za wachina nawe eti unawavimbia watu walioko government,tunajua mishahara ya wachina huwa haizidi laki 4.
Mkuu huko kwa wachina sijui wahindi huko sio kazi ni utumwa, mie nasemea organization kubwa na recognized na sio hao wachina na wahindi maana hata leseni za kazi zao ni magumashi matupu
 
Ndio ukweli mkuu Mimi na ndugu wako huko serikalini baada ya kuona hyo nilishangaa
Hapana. Ulichokiona kinaitwa annual increment.

Nyongeza ya mshahara au daraja ni tofauti kabisa.
 
Back
Top Bottom