Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Mimi sikupenda ile kauli ya kusema hizo ni kamba, kwanini nidanganye ktk platfom kama hii?

Ukisema salary zipo chini nakubali ila usipinge baadha ya sehemu mishahara yao.

Mwisho kabisa, kafatilie hata mishahara ofisi ya mkemia mkuu, Gvt kuna sehemu na sehemu.
Sio hukupemda hyo kauli ulitaka usikie wanalipwa mafezwa mengi kuliko uhalisia
 
Mkuu I beg to differ hapa

Hivi raia mnavyosema kuwa mishahara Jwtz ni ya "kawaida sana" mnakuaga na data za kutosha kweli?

Na mnaongelea mishahara ya askari wa ngazi ipi hasa?
JW wapo vyema, afisa analipwa mshahara, cheo, elimu yake inalipwa, umeme na maji n.k

Ukichanga yote hayo kwa luteni hashuki chini ya 2m.
 
JW wapo vyema, afisa analipwa mshahara, cheo, elimu yake inalipwa, umeme na maji n.k

Ukichanga yote hayo kwa luteni hashuki chini ya 2m.
Naam

Luteni ni 2.3+ kutegemea na ulipo.

Kuna Lt mtaalamu wa mifugo, mafunzo ya kivita, mwingine daktari, mkufunzi, rubani wa ndege za jeshi and the list goes on.
 
Naam

Luteni ni 2.3+ kutegemea na ulipo.

Kuna Lt mtaalamu wa mifugo, mafunzo ya kivita, mwingine daktari, mkufunzi, rubani wa ndege za jeshi and the list goes on.
Kuna mtu hapo juu alikuwa anapinga vitu nikawa namchek tu.

Doktar Bingwa au Wahadhil chuo wanaachwa mbali tu na baadhi ya watu serikalini.
 
Wakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake

1. TPDC
2. TCRA
4. Ngorongoro
3. Ewura
4. WCF
5. TBS
5. TANAPA
5. Tume ya madini
6. Mamlaka ya chakula na dawa
7. SSRA
8. NSSF/PSSSF
9. BOT
9. Bunge
9. Ofisi ya mkemia mkuu wa serikali
10. TASAC
10. TRA
11. MSD
11. TAKUKURU
11. EGA
12. NHIF
13. TPA
13. TIC
14. KADCO
15. TANESCO
16. TANROAD
17. TAA
Mbona taasisi yetu siioni au ni nyeti sana kias kwamba Raia hamuifahamu

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli sio vyema kubishana ninachojua watumishi wengi salary zao ni ndogo sana

Tena kwa organization mtu wa bachelor anakula hata zaidi ya milion tano kumzidi Prof wa chuo kikuu usishangae tembea uone. Hata huko sijui TRA sijui wapi hyo milion mbili na kitu si mishahara ya Senior wa zaidi ya miaka kumi na tano kazini
Private hata 6 ila balaa wanalijua wenyewe ile ukizunguka kidogo termination inakuhusu serikalini ni ule uvivu mtu akihisi mafua anaomba ruhusa anakaa home siku 3 na zaidi ila private ni kiboko
 
Private hata 6 ila balaa wanalijua wenyewe ile ukizunguka kidogo termination inakuhusu serikalini ni ule uvivu mtu akihisi mafua anaomba ruhusa anakaa home siku 3 na zaidi ila private ni kiboko
Sasa private una grow hata career yako ukiwa vizuri ajira hazisumbui maana kuwa tu private ni bonge la risk taker tofauti na serikalini wamebweteka hata utendaji wao wa kazi Haina ubunifu ni Bora liende tu
 
Ninachokumbuk nikiw mdogo kuna bro alikuj kupang nyumb nzma kimara (nyumb iko standard miak hyo ina vioo kila ktu) mshikj alikuw anafanyia kaz BOT asee jamaa japo aliku kijan sana lakn alikuw anaishi maisha mazur abadani

Na ndugu zake wote alikuw anawasomesha
 
Back
Top Bottom