Mkuu, hiyo TCRA anaajiri watu wangapi?Ndugu yangu acha chai MD anaingia serikalini baada ya kusoma miaka sita plus intern kwa -mil 1.4 while officer pale TCRA anaingia kwa gross ya 4.5 gross excluding house allowances and perdiem then you are telling these lies
Mwalimu and officer wanaanzia TGS D ambayo ni 710k except rare professional kama ICTO, engineerin ndio wanaanzia TGS E ambayo 950kYaani unataka kuniambia mwanasheria wa ngazi ya degree alipwe mshahara mdogo kuliko mwalimu wa degree ambaye anaanzia sio chini ya 740k?
Okay okay kama unaona 1.4m gross ni kubwa sawa endelea kuona hivyo bossMkuu, hiyo TCRA anaajiri watu wangapi?
Halafu TCRA Ni SHIRIKA mkuu ambalo hata wao wakihitaji MD atalipwa kwa scales za shirika.
Hapa tunazungumzia Tanzania Government scales. Hakuna anaenza na mshahara mkubwa kuliko MD.
Sawa, na wewe endelea kutafuta mishahara ya Milioni 30 kwa siku😀Okay okay kama unaona 1.4m gross ni kubwa sawa endelea kuona hivyo boss
JWTZ nisiwe muongo sijui salary zao ila naamini salary ni ndogo as per what I have seen from themJeshi letu halijawahi kuacha na halitakaa liache kuajiri form four sababu hao bado wana umuhimu kwenye zile 'kazi za watu'! Unajua ofisa mwenye degree ambaye ndiyo amekamisheni kuwa luteni usu (nyota moja) anaanza na mshahara na posho ngapi?
Wapo Hawa watu mtu anachukia m8 gross kwa mwezi ila ikifika tarehe 10 anakuomba pesa umkopesheAcha uongo wewe.....
Mshahara wa mwalimu Degree, Ni Tsh 716,000 ( Arts ) na Tsh 750,000 ( science ).Yaani unataka kuniambia mwanasheria wa ngazi ya degree alipwe mshahara mdogo kuliko mwalimu wa degree ambaye anaanzia sio chini ya 740k?
Mkuu, hapa nadhani tunazungumzia 'overall' hatuzungumzii watu 20 Kati ya watu 3,000 kulipwa mishahara mikubwa.Ndiyo maana nikasema wengi mkiambiwa jeshi huwa mnawaza vyeo vya mikononi tu! Hamuwazi vile vya mabegani ambao ofisa wa nyota moja tu anakunja zaidi ya baadhi ya hizo alizoorodhesha mdau kule juu na wengi huwa na diploma na degree na umri kama vijana wengine wengi tu wa uraiani!
Upo sahihi nadhani maana hiyo ilishawahi kuwekwa hapa nilitaka kushangaa mdau anasema mwanasheria anaanza na 710,000.Mshahara wa mwalimu Degree, Ni Tsh 716,000 ( Arts ) na Tsh 750,000 ( science ).
Wakili anaanza na TGS E ambayo Ni Tsh 940,000.
Wanaajiri degree pekeake? Kwa wasio na degree vipi malipo yao?PCCB mshahara laki 8 Kwa degree ila kuna posho ya risky allowance Kila mwezi pamoja Hela ya kujikimu ukiwa field au unafanya uchunguzi flani
mwanasheria mwenye law school anaanza na TGS E 940000/=. kwa upande wa halmashauri.Halmashauri ananza na laki 9 km basic kabla ya Kodi
Wewe sio askariNaona watu mnajadili sana mshahara wa jwtz lakn kiukwel huku mishahara ni ya kawaida sana sema tu kunaposho ambayo ni lak 3 kwa kila askar haijalish cheo kingine huku makambini huwa kuna vitu tunaita motisha yan mfano tunaweza letewa nyama tukauziwa kilo ata 2500 soda 300
Laki swala la mshahara nilakawaida sana ata safar zetu nje ya kituo huku tunaita night askar tunapata 70k na maafisa 100k
Labda kitakachofanya upate pesa huende ulinzi njee ya nchii huko japo huko napo maisha yanakuwa leani , kingine labda pia upate kaz makao makuu huko kidogo ndo kwenye malupulupu
Huko jw maisha niyakawaida sana tunachopata labda nikuogopeka tu mtaan basi lakin kwa hiyo mishahara ya mashirika mengine kama nikwel basi mpo vzr
Mshahara wa 2.3m huku kwetu ndo mshahara pamoja na malupulupu ya luten kanil kwa mwez
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnadanganywa sana mtaani aisee.Mkuu huo mshahara wa luteni kanali una uhakika nao au ndiyo hao wakubwa zako walivyokuambia? Kuna jamaa humu mjeda alisema huo mshahara wa 2.3M ni wa luteni (nyota mbili) labda kama useme unajaribu kuwapoteza maboya!
Sasa Luteni wa Jeshi kama anapokea mil 2.3 anatofauti gani na afisa wa TRA anayeanza kazi na mwenye degree??Mkuu huo mshahara wa luteni kanali una uhakika nao au ndiyo hao wakubwa zako walivyokuambia? Kuna jamaa humu mjeda alisema huo mshahara wa 2.3M ni wa luteni (nyota mbili) labda kama useme unajaribu kuwapoteza maboya!
Si ndiyo hapo sasa? Watu tunajua hadi mishahara na posho za usalama wa taifa na wala hatujawahi fanya kazi hiyo halafu mtu anakuambia eti hakuna mtumishi anaweka wazi mshahara wake tena taasisi zenyewe hizo ambazo hazina unyeti wowote!
Si kweli mkuu