Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Mkuu, hiyo TCRA anaajiri watu wangapi?Ndugu yangu acha chai MD anaingia serikalini baada ya kusoma miaka sita plus intern kwa -mil 1.4 while officer pale TCRA anaingia kwa gross ya 4.5 gross excluding house allowances and perdiem then you are telling these lies
Halafu TCRA Ni SHIRIKA mkuu ambalo hata wao wakihitaji MD atalipwa kwa scales za shirika.
Hapa tunazungumzia Tanzania Government scales. Hakuna anaenza na mshahara mkubwa kuliko MD.