Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Mkuu, mtu mwenye basic ya uhasibu hawezi kujua kuhusu INTERNATIONAL ACCOUNTING STANDARDS (IAS), INTERNATIONAL FINANCIAL REPORTING STANDARDS (IFRS) wala INTERNATIONAL PUBLIC SECTOR ACCOUNTING STANDARDS (IPSAS)
Acha kujikuta mjuaji wakati hujui lolote, kazi yako unakuja na kugoogle vitu ili ujioneshe unajua. Wewe ni kilaza mzee. Uhasibu una mambo mengi sana hivyo kwa mtu aliyesoma basics za uhasibu kujua hizo ni amejiongeza tu.
Huyo anayesema amesoma kuhusu IPSAS na IAS tena kwenye basics mwambie akutajie standards hata 7 tu na kwanini ziliwekwa.

Saveya na Karma malizeni tu ligi yenu wazee. Tufanye nyote washindi,mabishano yenu yaishe washikaji zangu[emoji119][emoji119][emoji119]
Okay
 
Mkuu, hii mishahara ya wanajeshi mnayoweka hapa mnaitoa wapi aisee?

Kwanza Jeshini hawalipi kwa Elimu.

Elimu Jeshini inakusaidia tu kupanda cheo baada ya kufanya kozi, hicho cheo ndio Chenye mshahara.

Mkuu sikudanganyi, Mimi ninao washkaji zangu nimemaliza na form 4 wengi sana wako Jeshini. Kuanzia Lugalo, Makongo, Kunduchi, Navy Kigamboni, Abdallah Twalipo Kurasini kote hakuna sehemu Sina jamaa niliyesoama naye. Police na magereza ndio usiseme.

Mimi sikupenda tu kuwa Askari.

Tena wengine wanna degree kabisa.

Mishahara ya Askari Ni ya kawaida kabisa. Na kibaya zaidi hawana Uhuru, wako busy mnooo.

Kitu pekee unachoweza kufaidi ukiwa Jeshini labda uende mission nje ya nchi.

Kuna ndugu yangu ( naye nimesoma naye) alienda Sudan akarudi na 30M hadi akataka kuacha kazi.

Sasa hivi imeisha anatamani kwenda tena.
Mkuu kwa haraka haraka nakushauri upunguze unafiki na uongo itakusaidia ..
 
Braza hapa nadhani unaongelea Hawa legal officers wa TAMISEMI @ Mkoani na Halmashauri.

Hawa akiwa na Bach huanza na TGS D ila kama ana Muhuri ni TGS E ni kama muhasibu tu.

Akiwa na Bach TGS D ila kama ni CPA holder mi TGS E.

Ila legal officers wa Taasisi Wana mpunga mrefu.

Mfano; BRELA Legal Officer II (entry) ni Mil 1.8

#YNWA
Brela? Siamini.
 
Wakuu mshahara wa BRELA kwa licensing officer II na registration officer II?
 
Zana ya kulipwa mshara mzuri n nn mantik yake Ni uwezo ,ujuzi ,umahiri ,upekee special talent au Ni uzoefu ktk kazi majibu plz
 
Ni sahihi kabisa. Nimefanya kazi taasisi ya Serikali, Mshahara wangu wa kwanza ulikuwa 1.5K. Take home ilikuwa laki 9. Miaka 3 baadae nikaenda kwenye NGO, nikawa nalipwa 3.8Mil kwa mwezi na safari kila wakati.

Baada ya miaka 3 wazungu hao hao wakatoa Post kwa wanaotaka kufanya kazi nchi za nje. Tukafanya interview tukapita wachache sana mwishowe tukabaki 3 tu.

Wakatupa shavu kufanya internship Uholanzi mwaka mmoja, baada ya hapo tukapelekwa kwenye vituo vya kazi, mimi nikapangiwa Nambia. Salary yangu niliyoanza nayo ilikuwa ni USD 9, 400 plus house and transport allowance.

Je kuna Afisa anayelipwa hivo serikalini ?

Wakurugenzi (DG)wa taasisi tajwa wengi wanacheza kati ya 15M hadi 20 M plus risk ya kutumbuliwa muda wowote kama Nehemia.

Wenzangu niliowaacha Serikali I am sure mpaka leo bado hawajafika salary ya 4M, tena sidhani kabisa maana sijasikia kupanda kwa madaraja wala salary.

Kibaya zaidi taasisi zote kwa sasa wanatakiwa kufuata sheria za Utumishi wa Umma Kwenye kupandisha salary na madaraja.

Tofauti na mwanzo; taasisi kama MSD, NHIF, TPA zilikuwa zinaajiri wenyewe na wanaviwango vyao vya mishahara na madaraja na ndio maana ukienda hizo taasisi unakuta Mkurugenzi, Manager, Afisa Wote wana Masters yaaani wapo sawa; tofauti yao ni aliyekaa muda mwingi ofisini na mwenye performance nzur.

Yaani hupaswi kuwa jeuri maana inawezekana leo nina report kwako but in few years Wewe uta report kwangu na utakuwa chini yangu.

Hakuna watu wana njaa kama watumishi wa umma; na ndio maana wakurugenzi wa hizo taasisi wanaishi kwa ku deal fake na rushwa. Unashangaa Yaani unakamatwa na Takukuru; ili akuachie Wanakuomba Rushwa lol [emoji23] .

Mk54
Jamaa utakuwa una elimu nzuri sana. Kibongo bongo mshahara wa 4M iwe take home au Basic ni kubwa sana.

DED tu analipwa chini ya 5M basic salary
 
Mimi nina hakika ninachokiongea 100 by far!

hakuna mshahara mzuri Kwenye hizo taasisi isipokuwa marupurupu. Unless you define what do you mean by Mshahara Mzuri!

Najua mpaka mshahara wa Ma DGs wote Tanzania Kwenye taasisi za Umma, na level za mishahara ya watumishi wa Umma.

Na hapa sizungumzii marupu rupu maana hayo marupu rupu, sijui perdiems etc etc sio mshahara , vinaweza kukata muda wowote na wala bank hawakukopeshi kwa kuangalia marupurupu na pesa unazopata kwa deal fake

Ninazungumzia salary ambayo inaingia Kwenye payslip yako. Kwenye hizo taasisi manager anaweza kulipwa kati ya Mil 5- 7M inategemea na taasisisi but take home akacheza kati ya 4-5M.

Na hayo yote soon yameashaanza kubadilika kwa kuwa Utumishi wanataka ku standardize mishahara ya Umma kulingana na level zao. Changamoto mtumishi akishapanda kwenye salary huwezi kumshusha tena!

I don’t see kama unaongea chochote cha maana zaidi ya kutaka kuendeleza mjadala bila kuwa na hoja na data. Weka data zako hapa wacha songi songi........ eti una Uhakika, is that how people discuss? Mad!

Sina cha kujifunza kwako, you better shut up [emoji850] and move on if you can’t define Mpunga mrefu.

Mk54
Na mpaka uwe meneja, DGs maana yake umewekeza kwenye elimu na muda kweli kweli.

Walimu wenzangu wa primary na sisi wengine watch man pia tunalipwa pesa ndefu ukilinganisha na investment kidogo tuliyowekeza kwenye elimu.

Kama watchman Form 4 analipwa laki 2.5 na DGs aliyesomea ulaya ana Phd ametumia over 20yrs kusoma plus ada kubwa kubwa ma kusacrifice social life analipwa 7M huoni kama watchman anamzidi kama ukifanya Value for money analysis?
 
Walimu wanalipwa vizuri balaa hapa Tz

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mtu umezaliwa kijijini unakula mihogo tu. Unaenda shuleni kwa miguu hata yunifomu huvai za maana. Baada ya form 4 tu unakula certificate ya miama miwili unakula laki 3.45 unataka ulingane na Mtu kazaliwa mjini kaanza na kindagateni analipa ada laki nane, primary milion 1.2 Secondary 2m na chuo kasomea Malaysia analipa 5000usd, akaja akapiga masters tena miaka miwili.

Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.

Investment investment.

Value for money Mwalimu analipwa pesa ndefu sana.
 
Wewe ni muongo banaa
Yaani kujadili na watu wajinga and zero brain ni kupoteza muda for sure na kujishushia heshima hapa JF. Yaani Mtu anakuita Muongo ; hakufahamu , hamjawahi kuonana. Yet anakuita muongo...... are you stupid or have we ever met before,kajifunze ethics za mawasiliano.

Utabaki kuwa maskini na akili zako.

Mk54
 
Mimi nina hakika ninachokiongea 100 by far!

hakuna mshahara mzuri Kwenye hizo taasisi isipokuwa marupurupu. Unless you define what do you mean by Mshahara Mzuri!

Najua mpaka mshahara wa Ma DGs wote Tanzania Kwenye taasisi za Umma, na level za mishahara ya watumishi wa Umma.

Na hapa sizungumzii marupu rupu maana hayo marupu rupu, sijui perdiems etc etc sio mshahara , vinaweza kukata muda wowote na wala bank hawakukopeshi kwa kuangalia marupurupu na pesa unazopata kwa deal fake

Ninazungumzia salary ambayo inaingia Kwenye payslip yako. Kwenye hizo taasisi manager anaweza kulipwa kati ya Mil 5- 7M inategemea na taasisisi but take home akacheza kati ya 4-5M.

Na hayo yote soon yameashaanza kubadilika kwa kuwa Utumishi wanataka ku standardize mishahara ya Umma kulingana na level zao. Changamoto mtumishi akishapanda kwenye salary huwezi kumshusha tena!

I don’t see kama unaongea chochote cha maana zaidi ya kutaka kuendeleza mjadala bila kuwa na hoja na data. Weka data zako hapa wacha songi songi........ eti una Uhakika, is that how people discuss? Mad!

Sina cha kujifunza kwako, you better shut up [emoji850] and move on if you can’t define Mpunga mrefu.

Mk54
We muongo sana.... Unajuaje mishahara ya DGs wa taasisi zote za umma??? Pita kushoto
 
Back
Top Bottom