Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania


Saveya na Karma malizeni tu ligi yenu wazee. Tufanye nyote washindi,mabishano yenu yaishe washikaji zangu[emoji119][emoji119][emoji119]
Okay
 
Mkuu kwa haraka haraka nakushauri upunguze unafiki na uongo itakusaidia ..
 
Brela? Siamini.
 
Wakuu mshahara wa BRELA kwa licensing officer II na registration officer II?
 
Zana ya kulipwa mshara mzuri n nn mantik yake Ni uwezo ,ujuzi ,umahiri ,upekee special talent au Ni uzoefu ktk kazi majibu plz
 
Jamaa utakuwa una elimu nzuri sana. Kibongo bongo mshahara wa 4M iwe take home au Basic ni kubwa sana.

DED tu analipwa chini ya 5M basic salary
 
Na mpaka uwe meneja, DGs maana yake umewekeza kwenye elimu na muda kweli kweli.

Walimu wenzangu wa primary na sisi wengine watch man pia tunalipwa pesa ndefu ukilinganisha na investment kidogo tuliyowekeza kwenye elimu.

Kama watchman Form 4 analipwa laki 2.5 na DGs aliyesomea ulaya ana Phd ametumia over 20yrs kusoma plus ada kubwa kubwa ma kusacrifice social life analipwa 7M huoni kama watchman anamzidi kama ukifanya Value for money analysis?
 
Walimu wanalipwa vizuri balaa hapa Tz

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mtu umezaliwa kijijini unakula mihogo tu. Unaenda shuleni kwa miguu hata yunifomu huvai za maana. Baada ya form 4 tu unakula certificate ya miama miwili unakula laki 3.45 unataka ulingane na Mtu kazaliwa mjini kaanza na kindagateni analipa ada laki nane, primary milion 1.2 Secondary 2m na chuo kasomea Malaysia analipa 5000usd, akaja akapiga masters tena miaka miwili.

Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.

Investment investment.

Value for money Mwalimu analipwa pesa ndefu sana.
 
Wewe ni muongo banaa
 
We muongo sana.... Unajuaje mishahara ya DGs wa taasisi zote za umma??? Pita kushoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…