Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Do your research vinginevyo Endelea kuiabudu TRA tu mkuu
 
Namshangaa mwamba anavyoisujudu TRA wakati kuna Watumishi wana mishahara midogo ila maposho yako mengi na juu kuliko mshahara wenyewe yaani hata mshahara hafikirii
 
Niliwahi kukutana na jamaa wa NAOT, akaniambia mshahara wake ni mdogo tu kama laki 7.6 hivi,ila hizo posho usipime coz wao kuanzia mwezi wa 7 hadi wa 12 huwa wako field na kila siku wanapewa posho ya laki na 20..kwa kweli nilibaki mdomo wazi.
 
Kiongozi etyy training za tra ngazi za Officer wanalipaje?
Na viposho poshoo
 
TISS huenda ndio wanaongoza kati ya wote hapo..
 
Wadau mbona kwenye hivi vyuo vikuu vya umma sioni mnavizungumzia kama viko na vishahara minono au huko ni normal tu japo ku a wasomi wenye GPA imara..!!
Mfano UDSM wako na hizi PUSS 2, PUSS 4 n.k
Walimu ,wakufunzi na wataalamu wengine mnaitwa huku mtaje salary zenu
 
Niliwahi kukutana na jamaa wa NAOT, akaniambia mshahara wake ni mdogo tu kama laki 7.6 hivi,ila hizo posho usipime coz wao kuanzia mwezi wa 7 hadi wa 12 huwa wako field na kila siku wanapewa posho ya laki na 20..kwa kweli nilibaki mdomo wazi.
Huko ndio kutamu
 
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…