Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

-kwani TRA hizo Posho hazipo? Au tuseme hizo Posho ziko kwenye taasisi nyingine lakini sio TRA?
- Jiulize kwa nini interview ya TRA huwa inakuwa na watu wengi pengine kuliko taasisi nyingine yoyote ya serikali?
-nijionee Hali halisi kwamba Watumishi wa TRA Wana maisha magumu au?
- hebu taja hizo taasisi zenye Posho kufuru? Ziorodheshe watu wazijue
Do your research vinginevyo Endelea kuiabudu TRA tu mkuu
 
Mjomba unaonekana unaisujudu sana TRA Mungu akusaidie uingie ujionee hali halisi maana sijui huwa unaiona kama mbingu

Yani tangu mwaka jana huwa nakuona ubishani wako ni huu huu kila taasisi watu wanazotaja huwa unazilinganisha na TRA tu

Lakini kwa taarifa yako tu ni kwamba kuna watu wako kwenye Taasisi za umma na mishahara yao inaonekana midogo tu lakini posho zao ni kufuru kuliko TRA na ukumbuke mishahara ina makato ila posho hazina makato
Namshangaa mwamba anavyoisujudu TRA wakati kuna Watumishi wana mishahara midogo ila maposho yako mengi na juu kuliko mshahara wenyewe yaani hata mshahara hafikirii
 
Niliwahi kukutana na jamaa wa NAOT, akaniambia mshahara wake ni mdogo tu kama laki 7.6 hivi,ila hizo posho usipime coz wao kuanzia mwezi wa 7 hadi wa 12 huwa wako field na kila siku wanapewa posho ya laki na 20..kwa kweli nilibaki mdomo wazi.
 
-kwani TRA hizo Posho hazipo? Au tuseme hizo Posho ziko kwenye taasisi nyingine lakini sio TRA?
- Jiulize kwa nini interview ya TRA huwa inakuwa na watu wengi pengine kuliko taasisi nyingine yoyote ya serikali?
-nijionee Hali halisi kwamba Watumishi wa TRA Wana maisha magumu au?
- hebu taja hizo taasisi zenye Posho kufuru? Ziorodheshe watu wazijue
Kiongozi etyy training za tra ngazi za Officer wanalipaje?
Na viposho poshoo
 
Wakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake

1. TPDC
2. TCRA
4. Ngorongoro
3. Ewura
4. WCF
5. TBS
5. TANAPA
5. Tume ya madini
6. Mamlaka ya chakula na dawa
7. SSRA
8. NSSF/PSSSF
9. BOT
9. Bunge
9. Ofisi ya mkemia mkuu wa serikali
10. TASAC
10. TRA
11. MSD
11. TAKUKURU
11. EGA
12. NHIF
13. TPA
13. TIC
14. KADCO
15. TANESCO
16. TANROAD
17. TAA
TISS huenda ndio wanaongoza kati ya wote hapo..
 
Wadau mbona kwenye hivi vyuo vikuu vya umma sioni mnavizungumzia kama viko na vishahara minono au huko ni normal tu japo ku a wasomi wenye GPA imara..!!
Mfano UDSM wako na hizi PUSS 2, PUSS 4 n.k
Walimu ,wakufunzi na wataalamu wengine mnaitwa huku mtaje salary zenu
 
Niliwahi kukutana na jamaa wa NAOT, akaniambia mshahara wake ni mdogo tu kama laki 7.6 hivi,ila hizo posho usipime coz wao kuanzia mwezi wa 7 hadi wa 12 huwa wako field na kila siku wanapewa posho ya laki na 20..kwa kweli nilibaki mdomo wazi.
Huko ndio kutamu
 
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
 
Back
Top Bottom