Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Mkuu,mimi nimeamua tu kukaa kimya kuepuka kubishana na hawa vijana.eti 3m kwa luten,na wakati huo ndio mshahara wa major plus marupurupu yake yote.
Haaa haaaa hatari sana.
Mshahara wa mtu ni Siri yake na muajiri
Amini hvo hvo ujuavyo.
Safi kabisa.
 
Sidhani kama huwa unalipwa salary yoyote wewe

Kuna salary ambayo ni minimum alafu kuna marupurupu

So basic salary ya luten ni chini ya milion mbili

Unaposema luten anakunja 2.3 sio kweli na wala sio uongo in how mwezi huu anaweza kukunja milion 2.3 then mwezi mwingine akapata 1.9
 
Mi pia nimewahi fanya kazi platinum haya majeshi ela za za kawaida tofauti yanavyokuzwa magereza ndo choka kabisa

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Acha ubishi mkuu nipo kwenye hio taasisi unajua

Je, naweza kupata ajira magereza kwa cheti cha kidato cha nne?

Upo TPDF tangu lini? Unaijua kweli mishahara ya TPDF au ndio wale changamsha genge?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] naona hapo imekaa sawa. Bila kusahau service men and women wanaolijenga kwenye makambi ya malezi wanakula 800k na kuruta 600k per month
Wale wanakula 2m🤣🤣🤣🤣🤣
Kumbe umenielewa Mkuu falsafa ya hoja yangu
 
Aisee huyu jamaa mpumbavu sana anapoteza Watu maboya...kumbe hata kazi hana anatafuta kazi za magereza halafu analeta data za vijiweni.
 
Aisee huyu jamaa mpumbavu sana anapoteza Watu maboya...kumbe hata kazi hana anatafuta kazi za magereza halafu analeta data za vijiweni.
Mpumbavu mwenyewe nimekwambia nipo jwtz?? Kusema nipo kwenye hiyo taasisi ndo basi mi ni mwanajeshi hujui tpdf wanakopa wap?? Acha kunitusi nyambafu ww
 
Nimekwambia nipo tpdf mkuu alaf huo Uzi uliouibua wa magereza kipindi hicho mtaa wa moto popote kambi lakini saivi sipo uko tena mkuu kuibua huo Uzi ndo usifikiri umenikamata huko nilishatoka kitambo sana
 
Umeingia lini TPDF na umetrain lini cadet wewe kijana😃😃. Lakini mimi nakubaliana na wewe mnalipwa mishahara mikubwa sana huko mkuu😃😃

I rest my case.
 
Umeingia lini TPDF na umetrain lini cadet wewe kijana😃😃. Lakini mimi nakubaliana na wewe mnalipwa mishahara mikubwa sana huko mkuu😃😃

I rest my case.
Mkuu sijui hatuelewani mi sipo tpdf mbona ila kuna sehem nipo inayonifanya kujua salary zao njoo inbox.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…