Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Mkuu,mimi nimeamua tu kukaa kimya kuepuka kubishana na hawa vijana.eti 3m kwa luten,na wakati huo ndio mshahara wa major plus marupurupu yake yote.
Haaa haaaa hatari sana.
Mshahara wa mtu ni Siri yake na muajiri
Amini hvo hvo ujuavyo.
Safi kabisa.
 
Hiyo ni salary bado marupurupu

Luteni anakunja 2.3m

Yani sijui kwanini wabongo wengi hatupendi kusikia wanajeshi wanalipwa vizuri kulinganisha na taasisi nyingi za serikali, ni taasisi chache sana zinazoizidi TPDF, ni taasisi chache sana zinazolipa form four failures 1m
Sidhani kama huwa unalipwa salary yoyote wewe

Kuna salary ambayo ni minimum alafu kuna marupurupu

So basic salary ya luten ni chini ya milion mbili

Unaposema luten anakunja 2.3 sio kweli na wala sio uongo in how mwezi huu anaweza kukunja milion 2.3 then mwezi mwingine akapata 1.9
 
Wewe huenda unasimuliwa,mimi nimefanya ngome saccoss miaka kadhaa kabla ya kuondoka,na hao wajeda ndio walikua wateja wangu wakubwa so salary slip zao nilikua naziona.tatizo mtaani watu mnadanganyana sana.wajeda mishahara yao ni ya kawaida ingawa nakubali miongoni mwa vyombo vya ulinzi na usalama, wanajeshi wanalipwa vizuri kulinganisha na wenzao.
Mi pia nimewahi fanya kazi platinum haya majeshi ela za za kawaida tofauti yanavyokuzwa magereza ndo choka kabisa

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Acha ubishi mkuu nipo kwenye hio taasisi unajua

Je, naweza kupata ajira magereza kwa cheti cha kidato cha nne?

Upo TPDF tangu lini? Unaijua kweli mishahara ya TPDF au ndio wale changamsha genge?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] naona hapo imekaa sawa. Bila kusahau service men and women wanaolijenga kwenye makambi ya malezi wanakula 800k na kuruta 600k per month
Wale wanakula 2m🤣🤣🤣🤣🤣
Kumbe umenielewa Mkuu falsafa ya hoja yangu
 
Je, naweza kupata ajira magereza kwa cheti cha kidato cha nne?

Upo TPDF tangu lini? Unaijua kweli mishahara ya TPDF au ndio wale changamsha genge?
Aisee huyu jamaa mpumbavu sana anapoteza Watu maboya...kumbe hata kazi hana anatafuta kazi za magereza halafu analeta data za vijiweni.
 
Aisee huyu jamaa mpumbavu sana anapoteza Watu maboya...kumbe hata kazi hana anatafuta kazi za magereza halafu analeta data za vijiweni.
Mpumbavu mwenyewe nimekwambia nipo jwtz?? Kusema nipo kwenye hiyo taasisi ndo basi mi ni mwanajeshi hujui tpdf wanakopa wap?? Acha kunitusi nyambafu ww
 
Je, naweza kupata ajira magereza kwa cheti cha kidato cha nne?

Upo TPDF tangu lini? Unaijua kweli mishahara ya TPDF au ndio wale changamsha genge?
Nimekwambia nipo tpdf mkuu alaf huo Uzi uliouibua wa magereza kipindi hicho mtaa wa moto popote kambi lakini saivi sipo uko tena mkuu kuibua huo Uzi ndo usifikiri umenikamata huko nilishatoka kitambo sana
 
Umeingia lini TPDF na umetrain lini cadet wewe kijana😃😃. Lakini mimi nakubaliana na wewe mnalipwa mishahara mikubwa sana huko mkuu😃😃

I rest my case.
 
Umeingia lini TPDF na umetrain lini cadet wewe kijana😃😃. Lakini mimi nakubaliana na wewe mnalipwa mishahara mikubwa sana huko mkuu😃😃

I rest my case.
Mkuu sijui hatuelewani mi sipo tpdf mbona ila kuna sehem nipo inayonifanya kujua salary zao njoo inbox.
 
Back
Top Bottom