basi mwenywe unajiona umejua kujibu.Mirioni 500, mirioni 700, mirioni 800
Niisamehe BrazaMpumbavu mwenyewe nimekwambia nipo jwtz?? Kusema nipo kwenye hiyo taasisi ndo basi mi ni mwanajeshi hujui tpdf wanakopa wap?? Acha kunitusi nyambafu ww
Nilijua tu huyu hawezi kuwa analipwa salary popote paleJe, naweza kupata ajira magereza kwa cheti cha kidato cha nne?
Je, naweza kupata ajira magereza kwa cheti cha kidato cha nne?
Habari za muda huu wakuu nina Degree, Je, naweza kuomba ajira za magereza kwa kigezo cha form four na kutakua na uwezekano wa kupanda cheo hapo baadae kutokana na elimu niloyonayo? Vigezo vyote ninavyo kama JKT. Nawasilishawww.jamiiforums.com
Upo TPDF tangu lini? Unaijua kweli mishahara ya TPDF au ndio wale changamsha genge?
Jobless punguza hasira....Ongea na watu vizuri nikufanyie connection ya suma jktMpumbavu mwenyewe nimekwambia nipo jwtz?? Kusema nipo kwenye hiyo taasisi ndo basi mi ni mwanajeshi hujui tpdf wanakopa wap?? Acha kunitusi nyambafu ww
Una uhakika namba 11 takukuru wanalipwa vzr?Nin
Nina ndugu zangu na marafiki wanafanya kazi huko
Wanakula mshahara wa sh ngapi kwa degree holder?Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi(NLUPC)
NIMR gani?!Mkuu NIMR unawachukuliaje?
Wanatakiwa kuwa 2 au 3 hapo
[emoji23][emoji23][emoji23]Balaa. Omba kazi fasta
NIMR ukiwa upo kwenye miradi zadi ya miwili ndio utapata mkwanja mrefuNIMR gani?!
MIMR njaa kali, labda uwe na project yako...lakini kwa salary mishahara ya kawaida sana.
Mdanganye tra hata bank officer wa crdb kampita mbali balaaKale Asali mkuu
Mdanganye tra hata bank officer wa crdb kampita mbali balaa
Huna unachokijua nduguWe jamaa umelewa ama[emoji16]
Taasisi na mashirika yanayo zalisha fedha , huwa na mishahara mikubwa + field work+ overtimeKusema DAWASA wanakunja 2.3m si mchezo kama ni kweli.
Hivi sasa mama kawarudishia kama zamani, Wanabeba Tanki la asali Kila mwezi 😂Vipi wale Waliokuwa wanalipwa 45milioni kwa mwezi, ambao hayati kawapunguza Hadi 15milioni?
Inategemea ni kitengo Gani , kumbuka halmashauri ni TRA ndogo,Mie Kwa kweli kazi za Chini ya halimashauri siombi🤣🤣🤣
Taasisi ambazo ziko wizara ya MN mishahara yao ni ya kuchekesha sana, Sema Kuna rushwa za hapa na paleVipi ,salary za uhamiaji
Imenibidi nicheke kwanzaTISS huenda ndio wanaongoza kati ya wote hapo..
NEMC, wakoje wadau kwa mhasibu 11??TBS
OSHA
EWURA
NEMC
WFC
Wapi wana mshahara mkubwa na maslahi kwa junior officer mwenye bachelor degree?