Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Senior HR wa TPA apart from salary, anakunja 850k kama mileage allowance, 45% of his/her salary kama housing allowance, 200k meal allowance kila mwezi. Mshahara kwa mwaka ni 26M. na vichench kadhaa, you can calculate it monthly. Watu wanabwia asali.
HYo mileage allowance ni mshahara wa mwezi wa mtu tena ni gross salary
 
Kuna Jirani yangu anafanya kazi benki ya maendeleo ya kilimo TADB ..hawa watu watakua wanakunja mpunga si haba nao?
 
Acha tu, na akipata duty travel per diem ni 215k kwa siku na wanasafiri sio unavyodhani
Aise na ni tanzania hii hii ..per diem ni ya mtu siku moja ni salary ya mwezi kwa mtu mwenye familia
 
Luten wa jeshi anachukua 1.8m.ukitaka salary slip nitafute nikuonyeshe kwa muda wako.acha kuniambia naropoka bila kuwa na ushahidi..huyo kapten mwenyewe tu hiyo 3m hajafikisha ndio sembuse luten.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hawafahamu hao wambie mbona kuna ma Sagenti wanapewa 2M wamekalili luteni hawezi pewa 3M hawezi alafu kingine malipo ya nshahara yanategemea na muda wa kukaa kazini expirience,elimu na kozi za muhusika sasa uyo luteni wa 3M ni luten amebase katika nn na nn???
 
Senior HR wa TPA apart from salary, anakunja 850k kama mileage allowance, 45% of his/her salary kama housing allowance, 200k meal allowance kila mwezi. Mshahara kwa mwaka ni 26M. na vichench kadhaa, you can calculate it monthly. Watu wanabwia asali.
Ni zaidi ya 26 per year
 
Kama Senior HR analipwa 26m bas, Engineer atalipwa 34m, mileage allowance yake itakuwa more than 1.2m,1.3m kama housing allowance, inshort inshort Senior engineer atakuwa mbali sana
 
Kama Senior HR analipwa 26m bas, Engineer atalipwa 34m, mileage allowance yake itakuwa more than 1.2m.
Mileage allowance ni sawa kwa seniors wote wa kila kurugenzi ambayo ni 850k.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] naona hapo imekaa sawa. Bila kusahau service men and women wanaolijenga kwenye makambi ya malezi wanakula 800k na kuruta 600k per month
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…