Ndege Tai
JF-Expert Member
- May 6, 2020
- 4,439
- 8,184
HYo mileage allowance ni mshahara wa mwezi wa mtu tena ni gross salarySenior HR wa TPA apart from salary, anakunja 850k kama mileage allowance, 45% of his/her salary kama housing allowance, 200k meal allowance kila mwezi. Mshahara kwa mwaka ni 26M. na vichench kadhaa, you can calculate it monthly. Watu wanabwia asali.