Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Hivi Wildlife Conservation Society wapoje wakuu...?

Mwenye ABC atupe Dondoo kidogo wakuu. Shukran.
 
Hivi kwenye upande wa Salary wanaposema ATTRACTIVE REMUNERATION PACKAGE Huwa wanamaanisha wanalipaje? Hasa kwenye hizi Taasisi za serikali
 
Kuna zenye mishahara midogo ila posho na marurupu kubwa sana bado illegal sources za wizi na rushwa kubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…