Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Lile wimbi la ma DC, RC kugombea Ubunge 2020 uliliona mkuu?
Usichojua ni kwamba viongozi wote wa serikali na wabunge, wakuu wa wilaya na mikoa , wakuu wa idara za tamisemi na wizara wote wanachezea kwenye salary scales za LSSE isipokuwa wakuu wa mashirika labda na wale wakuu wa mihmili.
 
I wish mgejua kuwa Hela imelala kwa biashara ,Nina mkaka nliimpa line mwaka uliopita alikuwa anaslave kwa halmashauri na vichenchi visivyo na maana Leo hii ana range 2022 edition
Kuna mdada pia najuana naye ,siyo mwajiriwa Ila ukitaka services zozote serikalini atakufanyia mind you hajasoma chuo kikuu ,mwana biashara tu .
Hela wanazokunja hawa sio mchezo .
 
Wakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake

1. TPDC
2. TCRA
4. Ngorongoro
3. Ewura
4. WCF
5. TBS
5. TANAPA
5. Tume ya madini
6. Mamlaka ya chakula na dawa
7. SSRA
8. NSSF/PSSSF
9. BOT
9. Bunge
9. Ofisi ya mkemia mkuu wa serikali
10. TASAC
10. TRA
11. MSD
11. TAKUKURU
11. EGA
12. NHIF
13. TPA
13. TIC
14. KADCO
15. TANESCO
16. TANROAD
17. TAA
KItengo cha manunuzi wanaojiita PPRA kama sijakosea
 
Mishahara ya kawaida sema marupurupu na safari , vikao na madili yapoya kutosha otherwise ofisa mwenye degree anaanza na 1.3-1.6 plus hela ya nyumba lakin nne hapo haijakatwa Kodi na makato mengine na Senior analipwa kama milioni mbili na laki sta sema kuna marupurupu ya nyumba nadhani laki sana pamoja na simu nk.

Hii pesa ya nyumba unalipwa kwa mkupuo mwezi wa Saba hapo ndipo mtu hununua gari mpya, nyumba unamalizia au miradi fulani maana piga kama laki Saba Mara 12 sio haba.

Otherwise pesa ya madili ni ujanja wako tu hakuna maajabu sana msikariri.
Hii ni taasis gani
 
Wakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake

1. TPDC
2. TCRA
4. Ngorongoro
3. Ewura
4. WCF
5. TBS
5. TANAPA
5. Tume ya madini
6. Mamlaka ya chakula na dawa
7. SSRA
8. NSSF/PSSSF
9. BOT
9. Bunge
9. Ofisi ya mkemia mkuu wa serikali
10. TASAC
10. TRA
11. MSD
11. TAKUKURU
11. EGA
12. NHIF
13. TPA
13. TIC
14. KADCO
15. TANESCO
16. TANROAD
17. TAA
Muweke mnaweka na salary slip wakuu mambo ya nmesikia tuache
 
I wish mgejua kuwa Hela imelala kwa biashara ,Nina mkaka nliimpa line mwaka uliopita alikuwa anaslave kwa halmashauri na vichenchi visivyo na maana Leo hii ana range 2022 edition
Kuna mdada pia najuana naye ,siyo mwajiriwa Ila ukitaka services zozote serikalini atakufanyia mind you hajasoma chuo kikuu ,mwana biashara tu .
Hela wanazokunja hawa sio mchezo .

Leta ramani.
 
Uongo mtupu,kuna jamaa namjua aliacha Tanesco alikuwa analipwa kilo 8 per month ,na kuna jamaa niliona slip yake kwa mwezi anakula 35m kampuni binafsi na pia kuna mabwana wadogo kibao wanalamba 6m mpaka 15m kwa mwezi kwenye makampuni binafsi na haujayataja kabisa.
Migodini watu walipwa hela bana acheni utani, barrick ni nyoko 😂😂😂
 
Back
Top Bottom