Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Wadau nasikia mishahara imeanza kuflow huko kwenye Serikalini,,, vp Kuna ongezeko lolote la Salary kwa mwaka mpya wa fedha..?
 
Tanzania hii watumishi wa tra ndiyo wenye pesa nyingi za michongo
Aahh kumbe michongo nikajua mshahara, kijana inaonekana unaiabudu sana TRA tangu mwaka juzi comments zako nyingi huwa naona unasifia huko tu, unahisi kila Mtu humu hapajui huko

Kuna watu wako kwenye Taasisi za serikali na huko TRA wanaona hakuna kitu, tena wengine wanaenda huko hawamalizi hata miaka miwili, wanarudi walikotoka au wanahamia kwingine

Huko kwenye sekta binafsi kama NGOs na Migodini ndio usiseme, watu wanalipwa mishahara na posho kufuru hakuna cha michongo wala nini, tafuta connection ujue taasisi zenye pesa ilionyooka ili uache kupasujudu huko na kupaona ndio kila kitu
 
Sijawahi kuona mfanyakazi wa crdb anaendesha Discovery
Duuh we jamaa huwa unafurahisha sana kwahiyo wewe watumishi wote wa CRDB nchi nzima unawajua au discovery zote hapa bongo unawajua wamiliki wake, halafu unapofeli ni kupima Kipato cha mtu kulingana na maisha anayoishi na vitu anavyomiliki wabongo sijui kwanini tumekariri hiki kitu

Yani kwahiyo wewe kwa uelewa wako binafsi, ni kuwa watu wote hapa bongo ambao hawana hayo madiscovery, sababu pekee ni kwamba hawana pesa za kuyamiliki siyo

Mzee watu humo maofisini hawafanani kila mtu na maisha yake na kila mtu na majukumu yake, kuna mtu anaweza kuwa analipwa 1M kwa mwezi ila hana watu wanaomtegemea, kwao ni wa kishua na anajua kujibana hivyo huo mshahara kwake lazima utoshe tu kulingana na matumizi yake

Na kuna mtu anaweza kuwa analipwa 9M kwa mwezi ila ana watu kibao nyuma yake wanamtegemea na wengine anawasomesha kabisa, hivyo pesa kwake haiwezi kutosha lakini si kwamba anapata kidogo, au pengine ni mtu anayependa kula bata tu hawezi kujibana kusave hadi kununua hayo magari ya kifahari au vitu vingine vya kifahari

Na pia kuna kitu kinaitwa interests si kila mtu ana interest na gari ya aina fulani mbona kuna wafanyabiashara kibao matajiri na hawana hizo discovery wala range, na kuna mwingine unakuta kajichanga kapata 200M kaona ajilipue na gari moja ya kifahari, basi anaonekana kama yeye ndio anapata hela nyingi kuliko ambao hawana hayo magari

Nakupa mfano tu kuna magari ya kifahari kina Lionel Messi wanabadili kila siku ambayo hata kina Bill Gates hawajawahi kuyamiliki, kwahiyo hapo napo tutasema kina Messi wana hela kuliko kina Gates au ni masuala ya interests tu, bro you have a very poor analysis kwenye haya masuala ya individual earnings vs expenditures

Pamoja na kwamba huwa unajisifu uko vizuri kwenye masuala ya finance ila unashindwa kujua vitu vidogo tu kama hivi vinakupiga chenga, na umeonesha jinsi gani hufahamu unachokiandika maana mara nyingi hoja zako huwa ni hizo hizo tu au ndio wale mliokariri elimu za kwenye makaratasi ila mkiambiwa mrelate na maisha halisi mnashindwa, eti unakisia kipato cha mtu kulingana na maisha anayoishi au vitu anavyomiliki hii ulisikia wapi jombaa
 
Aahh kumbe michongo nikajua mshahara, kijana inaonekana unaiabudu sana TRA tangu mwaka juzi comments zako nyingi huwa naona unasifia huko tu, unahisi kila Mtu humu hapajui huko

Kuna watu wako kwenye Taasisi za serikali na huko TRA wanaona hakuna kitu, tena wengine wanaenda huko hawamalizi hata miaka miwili, wanarudi walikotoka au wanahamia kwingine

Huko kwenye sekta binafsi kama NGOs na Migodini ndio usiseme, watu wanalipwa mishahara na posho kufuru hakuna cha michongo wala nini, tafufa connection ujue taasisi zenye pesa ilionyooka ili uache kupasujudu huko na kupaona ndio kila kitu
-punguza hasira,
-kwani hujui kuwa watumishi wengi wa Umma wanaishi kwa magumashi? Unashangaa nini?
  • ni watumishi wa taasisi gani hizo wanaona kuwa tra hamna kitu? Hebu zitaje
  • huko kwenye NGO na migodini wanalipwa sh ngapi? BTW mimi nilikuwa nazungumzia Serikalini.
 
Duuh we jamaa huwa unafurahisha sana kwahiyo wewe watumishi wote wa CRDB nchi nzima unawajua au discovery zote hapa bongo unawajua wamiliki wake, halafu unapofeli ni kupima Kipato cha mtu kulingana na maisha anayoishi na vitu anavyomiliki wabongo sijui kwanini tumekariri hiki kitu

Yani kwahiyo wewe kwa uelewa wako binafsi, ni kuwa watu wote hapa bongo ambao hawana hayo madiscovery, sababu pekee ni kwamba hawana pesa za kuyamiliki siyo

Mzee watu humo maofisini hawafanani kila mtu na maisha yake na kila mtu na majukumu yake, kuna mtu anaweza kuwa analipwa 1M kwa mwezi ila hana watu wanaomtegemea, kwao ni wa kishua na anajua kujibana hivyo huo mshahara kwake lazima utoshe tu kulingana na matumizi yake

Na kuna mtu anaweza kuwa analipwa 9M kwa mwezi ila ana watu kibao nyuma yake wanamtegemea na wengine anawasomesha kabisa, hivyo pesa kwake haiwezi kutosha lakini si kwamba anapata kidogo, au pengine ni mtu anayependa kula bata tu hawezi kujibana kusave hadi kununua hayo magari ya kifahari au vitu vingine vya kifahari

Na pia kuna kitu kinaitwa interests si kila mtu ana interest na gari ya aina fulani mbona kuna wafanyabiashara kibao matajiri na hawana hizo discovery wala range, na kuna mwingine unakuta kajichanga kapata 200M kaona ajilipue na gari moja ya kifahari, basi anaonekana kama yeye ndio anapata hela nyingi kuliko ambao hawana hayo magari

Nakupa mfano tu kuna magari ya kifahari kina Lionel Messi wanabadili kila siku ambayo hata kina Bill Gates hawajawahi kuyamiliki, kwahiyo hapo napo tutasema kina Messi wana hela kuliko kina Gates au ni masuala ya interests tu, bro you have a very poor analysis kwenye haya masuala ya individual earnings vs expenditures

Pamoja na kwamba huwa unajisifu uko vizuri kwenye masuala ya finance ila unashindwa kujua vitu vidogo tu kama hivi vinakupiga chenga, na umeonesha jinsi gani hufahamu unachokiandika maana mara nyingi hoja zako huwa ni hizo hizo tu au ndio wale mliokariri elimu za kwenye makaratasi ila mkiambiwa mrelate na maisha halisi mnashindwa, eti unakisia kipato cha mtu kulingana na maisha anayoishi au vitu anavyomiliki hii ulisikia wapi jombaa
-kwa salary scale ya crdb graduate (junior officer)kununua Land Rover discovery ni ngumu sana, kama wapo ni wachache sana na ni wale waliofikia managerial cadre hiyo ni exception.
-
 
-punguza hasira,
-kwani hujui kuwa watumishi wengi wa Umma wanaishi kwa magumashi? Unashangaa nini?
  • ni watumishi wa taasisi gani hizo wanaona kuwa tra hamna kitu? Hebu zitaje
  • huko kwenye NGO na migodini wanalipwa sh ngapi? BTW mimi nilikuwa nazungumzia Serikalini.
Mkuu wewe ndio huwa una hasira sana yani ni kama vile hutakagi kusikia wala kukubali kwamba kuna taasisi zinalipa vizuri kuliko TRA wakati kumbe hela zenyewe unazoziabudu kiasi hicho ni za magumashi tu, ndio maana nikakuambia tafuta connection au do your research utajua tu kwamba kuna taasisi kibao zinajilipa hela ndefu na siyo za magumashi, sema ndio hivyo taasisi nyingine zinakula kimya kimya ila wanaovuma ni hao kina TRA and co
 
-kwa salary scale ya crdb graduate (junior officer)kununua Land Rover discovery ni ngumu sana, kama wapo ni wachache sana na ni wale waliofikia managerial cadre hiyo ni exception.
-
Sasa rejea tena comment yako ya mwanzo nanukuu, "sijawahi kuona mfanyakazi wa CRDB anaendesha Discovery", sasa hao walioko kwenye Managerial Positions siyo wafanyakazi au wao ni shareholders
 
Back
Top Bottom