Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanalipa Kawaida tu mbonaCrdb wanalipa vizuri
Mkuu ipo vizuri in terms of what.TMDA iko vizuri sana bora uwe mfanyakazi wa chini hapa kuliko kuwa mfamasia wa wilaya somewhere
Usichojua ni kwamba viongozi wote wa serikali na wabunge, wakuu wa wilaya na mikoa , wakuu wa idara za tamisemi na wizara wote wanachezea kwenye salary scales za LSSE isipokuwa wakuu wa mashirika labda na wale wakuu wa mihmili.Lile wimbi la ma DC, RC kugombea Ubunge 2020 uliliona mkuu?
Mshahara bossMkuu ipo vizuri in terms of what.
Renumeration au skills development.?
Mshahara b
Mpwayungu aje athibitisheKwani hawa si wanalipwa kutokana na elimu na muda kazini?! Kasoro Ngorongoro ndio anajilipa mshahara
Sasa wewe unaandika unono, unono upi unaongelea ww
Dharau hizi- brigedia analipwa milioni 200
- meja jenerali milioni 300
- Luteni jenerali milioni 400
KItengo cha manunuzi wanaojiita PPRA kama sijakoseaWakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake
1. TPDC
2. TCRA
4. Ngorongoro
3. Ewura
4. WCF
5. TBS
5. TANAPA
5. Tume ya madini
6. Mamlaka ya chakula na dawa
7. SSRA
8. NSSF/PSSSF
9. BOT
9. Bunge
9. Ofisi ya mkemia mkuu wa serikali
10. TASAC
10. TRA
11. MSD
11. TAKUKURU
11. EGA
12. NHIF
13. TPA
13. TIC
14. KADCO
15. TANESCO
16. TANROAD
17. TAA
TMDA iko vizuri sana bora uwe mfanyakazi wa chini hapa kuliko kuwa mfamasia wa wilaya somewhere
Hii ni taasis ganiMishahara ya kawaida sema marupurupu na safari , vikao na madili yapoya kutosha otherwise ofisa mwenye degree anaanza na 1.3-1.6 plus hela ya nyumba lakin nne hapo haijakatwa Kodi na makato mengine na Senior analipwa kama milioni mbili na laki sta sema kuna marupurupu ya nyumba nadhani laki sana pamoja na simu nk.
Hii pesa ya nyumba unalipwa kwa mkupuo mwezi wa Saba hapo ndipo mtu hununua gari mpya, nyumba unamalizia au miradi fulani maana piga kama laki Saba Mara 12 sio haba.
Otherwise pesa ya madili ni ujanja wako tu hakuna maajabu sana msikariri.
Muweke mnaweka na salary slip wakuu mambo ya nmesikia tuacheWakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake
1. TPDC
2. TCRA
4. Ngorongoro
3. Ewura
4. WCF
5. TBS
5. TANAPA
5. Tume ya madini
6. Mamlaka ya chakula na dawa
7. SSRA
8. NSSF/PSSSF
9. BOT
9. Bunge
9. Ofisi ya mkemia mkuu wa serikali
10. TASAC
10. TRA
11. MSD
11. TAKUKURU
11. EGA
12. NHIF
13. TPA
13. TIC
14. KADCO
15. TANESCO
16. TANROAD
17. TAA
I wish mgejua kuwa Hela imelala kwa biashara ,Nina mkaka nliimpa line mwaka uliopita alikuwa anaslave kwa halmashauri na vichenchi visivyo na maana Leo hii ana range 2022 edition
Kuna mdada pia najuana naye ,siyo mwajiriwa Ila ukitaka services zozote serikalini atakufanyia mind you hajasoma chuo kikuu ,mwana biashara tu .
Hela wanazokunja hawa sio mchezo .
Kama kuna watu wanakulaga hela tamu na nyepesi ni hawa ndugu16. TANROAD
Migodini watu walipwa hela bana acheni utani, barrick ni nyoko 😂😂😂Uongo mtupu,kuna jamaa namjua aliacha Tanesco alikuwa analipwa kilo 8 per month ,na kuna jamaa niliona slip yake kwa mwezi anakula 35m kampuni binafsi na pia kuna mabwana wadogo kibao wanalamba 6m mpaka 15m kwa mwezi kwenye makampuni binafsi na haujayataja kabisa.