BALENSIAGA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,353
- 5,800
Senior 2.2 mbona ndogoTENESCO na TAA wanafanana kwa karibu...TAA wanaposho za mwezi kuanzia 600k -800k ila mashahara hawana maajabu senior analamaba 2.2 Mil.
Safari hawana , training hawana kwa sana
Kuna shirika Fulani Housing allowance ni 950,000/-, nauli 300,000/-, extraduty 840,000/-, Salary ni 2,95,0000/-Nilipo mimi ni taasisi ya udhibiti na posho ya nyumba na nauli ni 800k kila mwezi
😅😅Nenda hapo pako hovyo wadau wanalalamika kinoma ,hamna posho za maana zaidi ya laki 8.Senior 2.2 mbona ndogo
Yapo kibao ila usije kwenda TAA, GPSA ,Kuna shirika Fulani Housing allowance ni 950,000/-, nauli 300,000/-, extraduty 840,000/-, Salary ni 2,95,0000/-
Kuna shirika Fulani Housing allowance ni 950,000/-, nauli 300,000/-, extraduty 840,000/-, Salary ni 2,95,0000/-
Extraduty ni 60,000/- ambazo haitakiwi kuzidi siku 14, hivyo chukua 14 x 60,000= 840,000/-Kwa uelewa wangu mimi, posho ya kazi kwa muda wa ziada hua sio constant ila inategemea kama mtumishi amefanya kazi kwa idadi husika ya siku na kwa sasa rate kwa taasisi nyingi semi autonomy, wizara na halmashauri ni 60k kwa officers.
Sasa hao sijajua ni kua wanalipana tu extra duty hata kama mtu yuko likizo au niaje.
Uhamiaji kumbe pa kikuda tu. Kutoka X wakili madereka ameandika mishahara mitatu ya mkewe ni 3.5m na kidogo akiwa na nyota tatu!
Ni kama 1.25 m Kwa mwezi. Kwa mwaka 2019....... Mwaka 2022 iliongezeka kama 50 tu!!!!
Ndio nasema siku zote serikali haijatoa kapao mbele kwenye elimu kwa ngazi zote sekondari hadi chuo kikuu. Wahadhiri pamoja na kuajiriwa na GPA kubwa hawana posho ya nyumba hadi wafikie cheo cha SENIOR LECTURER wakati hizo taasisi nyingine hadi dereva ana house allowance.Nilipo mimi ni taasisi ya udhibiti na posho ya nyumba na nauli ni 800k kila mwezi
Jwtz ni pazuri bwasheeNdio nasema siku zote serikali haijatoa kapao mbele kwenye elimu kwa ngazi zote sekondari hadi chuo kikuu. Wahadhiri pamoja na kuajiriwa na GPA kubwa hawana posho ya nyumba hadi wafikie cheo cha SENIOR LECTURER wakati hizo taasisi nyingine hadi dereva ana house allowance.
Pathetic
Salary kawaida tu. Luteni akikusanya maokoto yake yote including posho ndio sawa na kijana wa TRA anaeanza kazi leo.Jwtz ni pazuri bwashee
Usilolijua bro ni sawa na usiku wa giza Yani luten wa jeshi awe sawa na kijana wa TRA anaeanza kazi?? Nikikutajia salary zao usije ukakimbia hapa.Salary kawaida tu. Luteni akikusanya maokoto yake yote including posho ndio sawa na kijana wa TRA anaeanza kazi leo.
Unafikiri luten wa jeshi anacheza kwenye hizo 2M za TRA mnazoona kubwa.Salary kawaida tu. Luteni akikusanya maokoto yake yote including posho ndio sawa na kijana wa TRA anaeanza kazi leo.
Extraduty ni 60,000/- ambazo haitakiwi kuzidi siku 14, hivyo chukua 14 x 60,000= 840,000/-
Ingia mashirika ya umma makubwa utakuta, principally extraduty haitakiwi kuzidi salary.Sasa hiyo si inategemea na idadi ya siku mtu alizofanya hizo extra duties. Ni wapi huko wanalipana flat rate?
Pia, limit ya siku inategemea budget wala sio lazima maximum siku 14. Mfano, sehemu nyingine wanaomba zote 20 na wanapewa. Kama budget imebana ndio mnalimit siku
Extra duty hawahesabu hivyo ila wamezoea kufanya hivyo ...Ni hivi extra duty ni masaa nje ya masaa yaliyopangwa kufanya kazi...Kawaida masaa 45 kwa wiki ina maana masaa halali ni 45 kwa wiki fanyeni mfanyavyo yatimie mpaka wekeend ila kama yatazidi mfanyakazi ana haki ya kupata posho ya muda wa ziada..Kwa uelewa wangu mimi, posho ya kazi kwa muda wa ziada hua sio constant ila inategemea kama mtumishi amefanya kazi kwa idadi husika ya siku na kwa sasa rate kwa taasisi nyingi semi autonomy, wizara na halmashauri ni 60k kwa officers.
Sasa hao sijajua ni kua wanalipana tu extra duty hata kama mtu yuko likizo au niaje.
Duuuh wengine tunabaki kuwa wasindikizajiKuna shirika Fulani Housing allowance ni 950,000/-, nauli 300,000/-, extraduty 840,000/-, Salary ni 2,95,0000/-
Nikimbie wapi?Usilolijua bro ni sawa na usiku wa giza Yani luten wa jeshi awe sawa na kijana wa TRA anaeanza kazi?? Nikikutajia salary zao usije ukakimbia hapa.
Halmashauri hizi wanaita OT. Mkurugenzi huamua tu kulingana na bajeti yetu tulipane siku 3 au 5. Miezi mingine inapita kavu. Hivyo hivyo siku zinasonga kibishi. Ila serikali inatakiwa iboreshe sana maslahi ya halmashauri hali ni ngumu.Sasa hiyo si inategemea na idadi ya siku mtu alizofanya hizo extra duties. Ni wapi huko wanalipana flat rate?
Pia, limit ya siku inategemea budget wala sio lazima maximum siku 14. Mfano, sehemu nyingine wanaomba zote 20 na wanapewa. Kama budget imebana ndio mnalimit siku
Nakubaliana na ww 100%Nikimbie wapi?
Salary jeshini ni kawaida sana mkuu. Kinachowapa kiburi ni posho za:
Reshen, vinywaji, nyumba,na PA.