Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Kuna shirika Fulani Housing allowance ni 950,000/-, nauli 300,000/-, extraduty 840,000/-, Salary ni 2,95,0000/-

Kwa uelewa wangu mimi, posho ya kazi kwa muda wa ziada hua sio constant ila inategemea kama mtumishi amefanya kazi kwa idadi husika ya siku na kwa sasa rate kwa taasisi nyingi semi autonomy, wizara na halmashauri ni 60k kwa officers.

Sasa hao sijajua ni kua wanalipana tu extra duty hata kama mtu yuko likizo au niaje.
 
Extraduty ni 60,000/- ambazo haitakiwi kuzidi siku 14, hivyo chukua 14 x 60,000= 840,000/-
 
Uhamiaji kumbe pa kikuda tu. Kutoka X wakili madereka ameandika mishahara mitatu ya mkewe ni 3.5m na kidogo akiwa na nyota tatu!

Ni kama 1.25 m Kwa mwezi. Kwa mwaka 2019....... Mwaka 2022 iliongezeka kama 50 tu!!!!

Nilipo mimi ni taasisi ya udhibiti na posho ya nyumba na nauli ni 800k kila mwezi
Ndio nasema siku zote serikali haijatoa kapao mbele kwenye elimu kwa ngazi zote sekondari hadi chuo kikuu. Wahadhiri pamoja na kuajiriwa na GPA kubwa hawana posho ya nyumba hadi wafikie cheo cha SENIOR LECTURER wakati hizo taasisi nyingine hadi dereva ana house allowance.
Pathetic
 
Jwtz ni pazuri bwashee
 
Extraduty ni 60,000/- ambazo haitakiwi kuzidi siku 14, hivyo chukua 14 x 60,000= 840,000/-

Sasa hiyo si inategemea na idadi ya siku mtu alizofanya hizo extra duties. Ni wapi huko wanalipana flat rate?

Pia, limit ya siku inategemea budget wala sio lazima maximum siku 14. Mfano, sehemu nyingine wanaomba zote 20 na wanapewa. Kama budget imebana ndio mnalimit siku
 
Ingia mashirika ya umma makubwa utakuta, principally extraduty haitakiwi kuzidi salary.
Mashirika ya umma Kuna kitu kinaitwa special task ukifanya kwa wiki 1 una pesa nyingi sana.
 
Kwa uelewa wangu mimi, posho ya kazi kwa muda wa ziada hua sio constant ila inategemea kama mtumishi amefanya kazi kwa idadi husika ya siku na kwa sasa rate kwa taasisi nyingi semi autonomy, wizara na halmashauri ni 60k kwa officers.

Sasa hao sijajua ni kua wanalipana tu extra duty hata kama mtu yuko likizo au niaje.
Extra duty hawahesabu hivyo ila wamezoea kufanya hivyo ...Ni hivi extra duty ni masaa nje ya masaa yaliyopangwa kufanya kazi...Kawaida masaa 45 kwa wiki ina maana masaa halali ni 45 kwa wiki fanyeni mfanyavyo yatimie mpaka wekeend ila kama yatazidi mfanyakazi ana haki ya kupata posho ya muda wa ziada..

Sasa taasisi nyingi wanafanya kazi masaa 9 kwa siku yaani ukiingia ukiingia saa mbili unatoka 11 jioni, mathematically kwa siku 5 kwa masaa 9 tayar ishatimia masaa 45 basi akienda wekeenda anapata extra duty..

Sasa sio taasisi zote wanajumlisha extra duty kwa wekeend kuna wengin kila siku wanajumlisha...Kwa mfano zipo taasisi wanafanya kazi mpaka masaa 12 kwa siku ina maana masaa 12 × 5 (siku tano tu kwa wiki) unapata masaa 60 ina maana kweny masaa 45 ya kisheria kuna masaa 15 ya zaidi yameongezeka ..Hayo masaa 15 wanalipwa extra duty hapa hawajaenda jumamosi ina maana kwa wiki moja ya mwezi nje ya wekeend wote wanapata 15 ya extra dury kwa wiki nne za mwezi mmoja wana masaa 60 ya exta duty kwa kila mtu wanazidisha kwa rate yao nje ya weekend ..

Hizo ni mfano wa taasisi wanazolipa constant ... Wengine ni supervior wanaingia asubuhi mpaka usiku hata saa 2 au 4 usiku ndio unashangaa mtu ana mpaka ectra duty ya mil 2.5 ,kazi zake tu anapafanya masaa ya ziada mengi kila siku bado weekend na sikukuu.

NB; Wanaocalculate kwa masaa ni taasisi imara hizi nyingine unaweza kuingia saa moja kila siku ukatoka saa moja usiku na usipate 😅😅unafanya masaa kibao ila kisheria ni 45.
 
Sasa hiyo si inategemea na idadi ya siku mtu alizofanya hizo extra duties. Ni wapi huko wanalipana flat rate?

Pia, limit ya siku inategemea budget wala sio lazima maximum siku 14. Mfano, sehemu nyingine wanaomba zote 20 na wanapewa. Kama budget imebana ndio mnalimit siku
Halmashauri hizi wanaita OT. Mkurugenzi huamua tu kulingana na bajeti yetu tulipane siku 3 au 5. Miezi mingine inapita kavu. Hivyo hivyo siku zinasonga kibishi. Ila serikali inatakiwa iboreshe sana maslahi ya halmashauri hali ni ngumu.
 
Back
Top Bottom